MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Lusematic, picha zitakazokubalika humu ni za Nairobiwalker na Kwelikwanza pekee. Na ningeomba hizo vigezo mpya nimetaja hapo zitumike. Ichoboy wala mimi ama mtu yeyote yule ana haki ya kupost picha humu, unless nia ni kuvuruga thread juu wameshindwa.

Tukuulize Le'mac tower ina 22fl
kwanini kaweka 26?