MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
C wamekimbia
Wameona majengo yao yameisha wamesepa
Orodha ya majengo ya kenya zaidi ya 20fl ni 16 pekee
Labda wajaribu kudanganya
Waje tu
mbona tupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C wamekimbia
Wameona majengo yao yameisha wamesepa
Huyo kweli kwanza amepatikanaje? asije akawa Mutoto ya kisumu ndo awe mwakili wa wasukuma wa bongoUmeambiwa kama unazo picha mtumie huyo KweliKwanza maana yeye ndiye atawakilisha timu Tanzania
Haka kawebsite uchwara
Ingekua hazipimwi kwa floor kigezo cha Floor20+ kisingewekwa hapaZinapimwa na nn???
Mnara wa juu???
Acha ushamba wewe
Flrs zote duniani zina almost ukubwa sawa ambao ni 4miters au 4.2 ukiongeza na lenta ya zege
4.2 × 40=168 af usisahau kuna uongezeko wa juu kama ukuta na paa
We hujaifika naiNa tukimaliza hii
twende Makazi halisi ya watanzania waishio Dar Vs Makazi halisi ya wakenya waishio Nairobi
hapa ndio mtaona watu wanavyo ishi ki mbwa nguruwe!!
Mimi niemishafunga kuangalia hii thread sioni mshindi atapatikanaje je yatahesabiwa jumla ya majengo au itaangaliwa ni jiji gani lina jengo refu kuliko yote?I APPEAL TPA has 40 FLOORS not 36..then ilipaswa jengo lijibiwe na jengo ili tuone uhalisia wa nani ni mshindi
It will have 90 guest rooms, 15 on each floor from the fifth to the tenth.
hahaaa...let them shout all they want but am glad this battle is controlled..we still have the list...We hujaifika nai
Ww ni nyang'au au mbongo?[emoji30]This is stupid now GROW THE HELL UP.
The world bank already valued our real estate leagues ahead of yours. DEAL WITH IT!
golf course iliisha zamani....Hiv hyo golf course imeisha au bado inajengwa ...maana mnasema itakuwa na 21 flrs ...cc hatujaweka morroco square ambazo office ina 22 flrs na residential ina 20flrs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuache utani
hivi kwa macho tu
ukiangalia hili jengo lenye wavu
![]()
na hili
![]()
Nilipi lenye floor nyingi!!
Wakenya mchezo umewashinda
Weeee.....nilikuibia kitu gani mpaka udhani kwamba mi Mkenya?Ww ni nyang'au au mbongo?[emoji30]