Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

Tume conclude vipi sasa, 7-0 Au vipi?
Mbona story zimekua nyingi kuzidi kazi?!
 
Alafu kumbe britam hata halijakamilika?Hawa jamaa embu mjibu kwanza kwann lipo kwenye list?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli magufuli mchawi
Maana haiwezikani Tanzania itengeneze hizi tamtam uku wakenya wana hizi
4483faca20339a4243a44fda4a67a184.jpg
Ya Kenya ni double yenu naona nikasingle(2 trains at once)
Alafu msishereke ka bagamoyo.....then nothing hi happen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli magufuli mchawi
Maana haiwezikani Tanzania itengeneze hizi tamtam uku wakenya wana hizi
4483faca20339a4243a44fda4a67a184.jpg

Tihihihi. Bado kazi itakuwa kuni tuu. Ama mkijaribu ni generator kama vile yananguruma nyingi sana Darislum
train.jpg
 
yaaan tungechapa chapa nyie ngojeni tutawapita zaidi kwa kila kitu ngoja tukikimbize hiki chama tawala mtajuta maana tutawachapa hawa mara kumj zaidi ya sasa ivi
 
Back
Top Bottom