Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Muache kujiaibisha watanzania.
Google earth pekee ukilitazama Nairobi tu maghorofa hayahesabiki ukilinganisha na Dar.
Ama kweli maskini akipata ,matako hulia mbwata!
Mmejengewa vijighorofa viwili sijui TPF sijua A wapi na wapi mmewehuka!