Nairobi vs Kampala

deecarter

Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
23
Reaction score
64
Nairobi ni jiji kubwa kwa upande wa kenya na ndio jiji lililokuwa linashikilia nafasi ya kwanza katika majiji makubwa afrika mashariki kabla ya jiji la Dar es salaam kufanya revolution na kuwa mbele zaidi ya Nairobi sasa ni wakati wa comparison kati ya Nairobi na kampala. kwa upande wa kampala ndio jiji kubwa zaidi nchini Uganda and apart from that kampala inaweza kulinganishwa na majiji mengine kama Nairobi
TUMIA BUSARA KUJIBU NA SIO MATUSI

HII MAMBO YA KUKALILI HEBU TUIACHE

PLEASE ITs ONLY ABOUT NAIROBI and KAMPALA
 
Hivi lini Dar iliishinda Mombasa, maana ndio level yake, ama kwa kujenga majengo mawili mkaanza kutunisha misuli na kujiona mumekaribia hadhi ya kupimana na Nairobi.
Mjenge walau superhighway moja ili muwaze kuitaja Nairobi, sio hapo mlijenga flyover moja ikawa kivutio cha watalii Tanzania yote, ilhali flyover za Nairobi tumezichoka.

Hivi unafahamu uchumi wa Nairobi pekee yake unatoshana na uchumi wa Tanzania yote, yaani muungano wa nchi zote mbili Tanganyika na Zanzibar.
 
Asee ndugu umeongea kwa uhemko hadi raha.
Yani uchumi wa Nai uwe wa Tz nzima acha uhemko braza.
Dar inakua kwa kasi ina majengo mengi na inazidi kuboreshwa na fly over zinazidi jengwa pia.
Au hulifaham hilo??!!!!
Hapa ni comparison ya Kampala and Nairobi Dar itoe.
Halafu kumbuka Dar ni mara tatu ya Nairobi kwa ukubwa sawa Nai imejengeka ila tunawapa CBD ya Dar inatoshana na Nairobi nzima kutokana na ukubwa wake.
 
Umeua bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]usiongeze kitu kabisa
 
Dar ni kubwa kushinda new york pia...usisahau hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona dar imeipiku new york..
 
Bwahahaaa...jamaa unaugua sana kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..usijali..maumivu yataidha tu...
Nairobi ni kijiji kwa kampala. Nai ni kubwa midomoni mwao tu
 
Uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu msifananishe Nairobi yetu na vitu vya kijinga, Kampala hawana hii bus terminal ya kimataifa mpaka naingia kaburini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

 
We kwale bila kuitaja TZ haujiskii poa.
 
Dar ni kubwa kushinda new york pia...usisahau hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona dar imeipiku new york..
Tunazungumzia kuhusu East Africa kijana tuliza akili.
Una akili timamu ww????
New York imetokea wapi???
Ilhali twaizungumzia Africa???

New York yako haifikiii ht robo mji wa Doha Qatar ama Abudhabi Dubai New York yako haifui dafu ng'oooo hatta iende kwa mganga wa kienyeji.
 
Achana na uyo msela wa kibera njaa itakshikisha adabu
 
Mi ni mtanzania halisi na mwafrika mashariki mbobezi...

Siweki ushabiki au uchachandu ila ukweli ulio dhahiri...

Bila kupepesa macho wala kuona aibu
1. Nairobi
2. Dar Es Salaam
3. Kampala
4. Kigali
5. Bujumbura


Nimemaliza
 
ukitamka DAR uwe unajua DAR nini DAR sio ulimwengu wako ndugu DAR ni high level DAR nikubwa kinyama zaidi ya unavyoijua dar ni kama ka nchi hivi usilingsnishe na kifungishio kama nairobi
 
Hebu msifananishe Nairobi yetu na vitu vya kijinga, Kampala hawana hii bus terminal ya kimataifa mpaka naingia kaburini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa wa Tz huwa na ujinga mob mazee.. mimi niko uku ushagoo but nina stayingi side za korogocho nikijanga tao. Ebu peana picha za estate unayo stay tuwa show vile walivyo mafala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…