mkuu mimi ni mtz, ila unapoteza tu mda wako kwenye hzi mada zishakua nyingi sana huku na akuna aliepata ata kumi kwenye izi mada labda jamii forum tu wenyewe ndo wamepata faida: acha kupoteza mda wako, kama hujawahi kwenda nairobi we tafuta kazi ufanye, dar haiwezi kufika level ya nairobi mwaka huu: wala miaka kumi, remember na wao hawajasmama, ingawa wana changamoto zao za apa na pale ila ukwel ni kwamba wapo mbele sana kuanzia currency yao mpaka infrastructures: bado tuna kazi kubwa kufika walipofika, na kama wananchi hawafanyi kazi sasa kufika izo level tutabaki tu uku kwenye forum, mwisho wa mada: i can hardly say dar inaweza kua ya tatu kwenye miaka ya karibuni, ulishawahi ona wauganda wako wanabishana uku? ila mwaka huu wametangazwa as the best enterprenueal country in the WORLD not in AFRICA but in the WOOOORLD: