Nairobi vs Kampala

Nairobi vs Kampala

Ushawai kuskia city yoyote yenye iko uswazi ndani yake...dar pekee..na inashikilia namba moja...na haina mfano
Ushawahi kusikia Kampala katika list za slum duniani??!...
Lakini Nairobi kuna slum zaidi ya nne katika list ya slum mbaya zaidi duniani..
Kampala is better than Nairobi,
 
Mmeshindwa mpka mna post slum[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
images

Now nimeshift pande za West budda, land lord wa huku hananga maneno mob, life iko good side hii kidedli bradhe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dar ni kubwa kushinda new york...je dar imeipiku new york....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wacha kutoka nje ya mada please[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
We fala tokalini Dar ikawa kubwa kuliko New York????
Hv unajua km jimbo la New York ni kubwa kushinda Dar????
Punguza upunguani.
Halafu hapa twaongelea East Africa sijui America imekujaje???
Kama unataka kuifananisha York chukua Doha ni ndunyu sana kwa York inaingia mara tano sita lakn Doha imeendelea mara mia ya York.

Ww ndio unatoka nje ya mada.
NAKUKUMBUSHA TUNAZUNGUMZIA EA
 
Ushai sikia city ina slums??
Noop ni Nairobi pekee ndiyo yenye slums
Ushawai kuskia city yoyote yenye iko uswazi ndani yake...dar pekee..na inashikilia namba moja...na haina mfano
 
Kaka na ww kuhusu Uganda kutangazwa kuwa best enterpreneual nation worldwide unaamini????
Huwenda wamekaa kimya kwa kuwa wamepakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.

Nakubali bro kwa sasa hatuifikii Nairobi ila tutaifikia ndan ya muda mfupi tu kwan China aliifikiaje US.
Trust yourself dude believe in yourself.
Miaka tano tena Mingi.
kwan twenda mbal: see for yourself, i dont need to introduce myself kua am from tz maana mtu anaweza dhan labda mm mkenya najitetea: am from tz, and sisi watz ni waongeaji sana, vitendo hatuna: we angalia thread zote uku za tz vs nairobi: wanafungua watz while you can hardly see on you naked us, leave alone ambao ata tumefika: check uganda budget ya mwaka huu, tz budget na kenya budget: you can see the speed uganda wanakuja nao na gap tulionao kutoka kufika kenya, in other words ukijumlisha budget ya tz na uganda zote kwa pamoja bado chenchi inabaki sasa mtu bado anafungua thread tz vs kenya: huyu mtu ana akili kwel?
 
So you actually know that Dar still has a long way to go to reach where Nairobi is but unashinda hapa ukipiga kelele the whole day! Kumbe ni ushabiki tu na uzalendo kwa nchi! Nishajua sasa
 
Mimi pia huwa sio mpenzi wa kidandia vitu ila baada ya kuona comment yako na kukuona upo kitambo humu Jf imenibidi na mimi nichangie.

Ni ukweli usiopingika kabisaaaa, hakuna JIJI KAMA NAIROBI hapa East Afrika. Kwa tathmini ndogo ni sawa kuilinganisha kiuchumi Kenya na Tanzania, kitu ambacho hakipo sawa kabisa japo tunabaki kujipa moyo tu.

Kenya inaendelea kutokana na viongozi kubadilika, kule hakuna uchama ila kuna maslahi ya Taifa mbele, ila huku Tanzania ni uchama na mdomo tu.

Ni aibu kubwa mno kwa watanzania kujishindanisha na nchi kama Kenya, sio Tz tu bali East Afrika kwa ujumla. Hawa wenzetu wamepiga hatua haswa.

Nairobi isifananishwe na jiji lolote hapa EA.

tatizo tz kuongea sana: online kwetu sio shida, hizi mada zishakua nyingi mpaka watu wanabaki wanaongea wenyewe: ndo maaana lawama hua znabakigi kwa serikali mara zote: nchi haijafika level flan wanadhan ni serikali inatakiwa kufanya hio kazi wakisahau wananchi ndo wana kazi ya kufikisha nchi yao , wakenya wanafanya kazi sana, sio mchana sio usiku town watu wapo wanapiga kazi, sjui tunapata wap mda wa kuja kupiga umbea uku online
 
Nairobi hii hii yenye slum kila kona au kuna nyingine [emoji23][emoji23][emoji23] wewe ndo wale wa story za vijiweni.

kwan tz akuna slums: ivi unajua ata kufikisha umeme kagera mpaka leo imeshindkana kiasi kwamba wananchi wa kagera wanatumia umeme wa uganda?
 
kwan twenda mbal: see for yourself, i dont need to introduce myself kua am from tz maana mtu anaweza dhan labda mm mkenya najitetea: am from tz, and sisi watz ni waongeaji sana, vitendo hatuna: we angalia thread zote uku za tz vs nairobi: wanafungua watz while you can hardly see on you naked us, leave alone ambao ata tumefika: check uganda budget ya mwaka huu, tz budget na kenya budget: you can see the speed uganda wanakuja nao na gap tulionao kutoka kufika kenya, in other words ukijumlisha budget ya tz na uganda zote kwa pamoja bado chenchi inabaki sasa mtu bado anafungua thread tz vs kenya: huyu mtu ana akili kwel?
Bro ww ni mkaririji.
Angalia Uganda economic projects ngapi imefanya na iko wapi na iangalie Tz economic projects ngapi imefanya na inafanya.
Iangalie hyo Kenya unayoisifia imeendelea watu wana commit suicide kwa ugumu wa maisha daily habari zinatoka.
Mwaka huu wametoa habari kuwa watasitisha ajira serikalini kwa muda wa miaka mitatu Kenya hv unajua kuna athari gan itatokea???
Hiyo Kenya unayoisifia gap la masikini na tajiri ni kubwa kinyamma yani kubwaa ile mbaya.
Hiyo Kenya unayoisifia inaongoza kwa maden East Africa.
Kenya unayoisifia inaongoza kwa failed projects mkuu.
Kenya unayoisifia inashindwa hata kudhibiti balaa njaa aisee.

Uchumi upi mkubwa unaozungumzia ww???
Vtu vingine hv twende kwa reality bhanaaa.
We nchi ina budget kubwa sawa asa kwann wasitishe kuajiri kwa muda wa miaka mitatu????
Hapo hapo kuna wanaomaliza vyuo wapo wanaosoma wanamaliza mwakan na wapo walohitimu mwaka huu.
Nambie hilo wimbi la unemployment litakuaje????
 
Mimi ni mkenya, nilikuanga naamini Nai iko poa zaidi EA. Nikaja kuona pics na video za Dar.. nime agree Dar nikunoma masee. Nita come huko ku visit

although each city has his uniqueness: kuna some of the things dar is way ahead than nairobi, but sasa ukija kuvijumlisha dar has less than nairobi: am talking this from experience and have lived in both cities for a long time: dar might be a good recreational place, security, glass buildingsand probably the ocean as an advantage: but come on man, only those? do you know most of things in kenya ni double to the rest of east africa: mfano, national budget, ukichukua ya tz plus ya uganda unapata bado haijafika ata kwa kenya, ukichukua big cities in east africa: nairobi and mombasa makes it to the list while in tz only dar: kweli you have the guts kuleta hii mada watu wakijua your well mentally? lets work people: afterall hatujazuiliwa kwenda kutembelea kenya we share borders: thats a thing kusema lemme go and learn some 1 or 2 from there to better my life, wenzetu wana majanga mengi sana lakini wananchi hua wanajituma sana, kuanzia hunger mpaka war ila wanajituma sana kwenye kazi: sisi lazma lawama ziende kwa serikali, fuatilia some statistics za both countries: even the number of millioanires, wapo more way ahead, but i said there some things we do way more better than then:we have the only dola billionaire in east africa, they dont: they have way more millionaires than us: see that? kuna msemo unasema: if you cant defeat them, join them: so cha msingi get some kenya friends exchange some opportunities za apa na pale, for example kenya has an issue with hunger, tz swala la land sio issue kabisa get into a partnership exchange some shares and do some deals , and many more opportunities if they arise: its called growing up
 
[emoji16][emoji16][emoji16]wewe umelala usingizi wa icu.na hili ndio tatizo lenu baadhi ya wakenya.mnajisahau mno na kuamini maisha nje ya nairobi yamesimama.

watu kama sauti sol ilibidi tu waongee ukweli,kwamba wameshtuka sana,bahati mbaya au nzuri hawakuja kutembea,wamealikwa kikazi hivyo hatukuweza kuwatembeza zaidi jiji la mfano east africa[emoji16][emoji16],wangeshangaa zaidi kisha wajidharau kabisaa.

bro imechapwa newyork city na hongkong,paris na dubai,sembuse nairobi the home of slums[emoji38]
Unaongea kuhusu Sauti Sol? Those are artists and artists can do or say anything to increase their fan base in a particular region (it's called target audience). Naamini hata wewe hapa ushakuwa shabiki wao mkuu kutokana na hayo maneno yao. Lakini mimi nakumbuka kwamba there's a time a head of state from a neighboring country referred to Nairobi as the 'Europe of Africa'. He even urged his countrymen never to borther going to Europe because Europe is just here in Nairobi. That they just need to cross the border and reach Europe! Tafakari hayo
 
Niletee hizo slum za Tz nione,
Nyie ndio wale wa vijiweni mnaopiga soga za kukaririshana ukumbafu.
kwan tz akuna slums: ivi unajua ata kufikisha umeme kagera mpaka leo imeshindkana kiasi kwamba wananchi wa kagera wanatumia umeme wa uganda?
 
Niletee hizo slum za Tz nione,
Nyie ndio wale wa vijiweni mnaopiga soga za kukaririshana ukumbafu.

not here to start telling you this is a slam ama not: my whole point is, we still have a long way to go: and pia kuna opportunity apa its just for you to pick it up instead of sharing pics za projects ambazo hazijaisha: sasa cha ajab na project znakuja kuisha but because we dont have that opportunistic nature bado kelele ztaendelea kua zile zile: see this in an opportunity view izi mada dont make anyone even a cent
 
Nakuambia niletee hizo slum za Tz ulizosema zipo unaleta story mob,
Niletee hizo slum nione hapa.
not here to start telling you this is a slam ama not: my whole point is, we still have a long way to go: and pia kuna opportunity apa its just for you to pick it up instead of sharing pics za projects ambazo hazijaisha: sasa cha ajab na project znakuja kuisha but because we dont have that opportunistic nature bado kelele ztaendelea kua zile zile: see this in an opportunity view izi mada dont make anyone even a cent
 
Bro ww ni mkaririji.
Angalia Uganda economic projects ngapi imefanya na iko wapi na iangalie Tz economic projects ngapi imefanya na inafanya.
Iangalie hyo Kenya unayoisifia imeendelea watu wana commit suicide kwa ugumu wa maisha daily habari zinatoka.
Mwaka huu wametoa habari kuwa watasitisha ajira serikalini kwa muda wa miaka mitatu Kenya hv unajua kuna athari gan itatokea???
Hiyo Kenya unayoisifia gap la masikini na tajiri ni kubwa kinyamma yani kubwaa ile mbaya.
Hiyo Kenya unayoisifia inaongoza kwa maden East Africa.
Kenya unayoisifia inaongoza kwa failed projects mkuu.
Kenya unayoisifia inashindwa hata kudhibiti balaa njaa aisee.

Uchumi upi mkubwa unaozungumzia ww???
Vtu vingine hv twende kwa reality bhanaaa.
We nchi ina budget kubwa sawa asa kwann wasitishe kuajiri kwa muda wa miaka mitatu????
Hapo hapo kuna wanaomaliza vyuo wapo wanaosoma wanamaliza mwakan na wapo walohitimu mwaka huu.
Nambie hilo wimbi la unemployment litakuaje????

Bro am talking from experience, dont think npo tu apa kutoa content online kukuonyesha without having facts: ugandas are very hardworking my friend, they are one amoung opportunistic people i have met, they mostly sound a very quite nation, ila angalia statistics zao za mauzo kwenda kenya tu alone, see that cash they made: thats to kenya alone, and as i said earlier kila sehem kuna changamoto zake but we still have a long way ahead: i have given much examples , zitafute in one of the posts utaelewa: kuanzia swala la uchumi mpaka international recognition

and i understand that you want to potray kenya as a failed nation: sjui failed project, ujue na tz ile oil project haijaisha lakini blunder iliotokea ni aibu ata kuisema: and many more, mwendokasi ndo izo znawaka moto kila jioni: kujibu kuhusu uchumi just check the budgets za nchi zote mbili, chukua tz and uganda zijumlishe then battle it with kenya: ona this gap.. come on man: nenda sku moja katembelee nairobi though kuna some challenges za apa na pale, theft, high cost of living but just visit that life you will admire what we still dont have next time utajua cha kuandika: though amnot here to say tz isnt a good country but that expect ya kenya man ebu wape at the respect they deserve, itsnot an easy thing kufika pale, it shows people are really hard working, ni vile tu border zilikuja kuwekewa restrictions ila mpaka employment tz walikua wameshachukua, they are opportunistic in nature: imefika mpaka stage kuoa tz watu wanakimbilia kenya( just a joke though) but lets have some respect from them and atleast we learn tufike some where near them
 
Nakuambia niletee hizo slum za Tz ulizosema zipo unaleta story mob,
Niletee hizo slum nione hapa.

because thats childish kuanza kutafuta picha za slums: kupost , then na wewe upost then na mm nipost, man: are you mentally ok? with all the resources available online you known where to get them
 
Humu watu huwa tunaenda kwa picha, Ukisema kitu kipo unathibitisha kwa picha,
Ama nimekuambia uniandikie ngeli hapa,
Please lete proof za picha hapa,
Sitaki story za vijiweni hapa,
Wewe ni mmoja wa story za vijiweni,
Usisahau pia top cities in Africa Dar ipo namba 3 huku Nairobi ikitupwa hadi namba 7.
because thats childish kuanza kutafuta picha za slums: kupost , then na wewe upost then na mm nipost, man: are you mentally ok? with all the resources available online you known where to get them
 
Back
Top Bottom