komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wacha kulia wewe...dar ni kubwa kushinda new york city...kilio chako peleka mhumbili
We fala tokalini Dar ikawa kubwa kuliko New York????
Hv unajua km jimbo la New York ni kubwa kushinda Dar????
Punguza upunguani.
Halafu hapa twaongelea East Africa sijui America imekujaje???
Kama unataka kuifananisha York chukua Doha ni ndunyu sana kwa York inaingia mara tano sita lakn Doha imeendelea mara mia ya York.
Ww ndio unatoka nje ya mada.
NAKUKUMBUSHA TUNAZUNGUMZIA EA