mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
wacha kujihami nakukumbusha tena,sitasema hivyo[emoji16].Kumbe nyinyi mshamaliza safari na ndio mnajenga flyover ya kwanza! [emoji23] [emoji23] Sisi tunazo nyingi huku na ndio tumeanza coz hizo hazitoshi. Kama nyinyi mshafika na hiyo yenu moja basi pole kwenu. Ubaya mtaanza kusema Nairobi ilijengwa na wazungu
sisi tunaangalia ufanisi wa kila kitu,tunafanya research kabla tufanye.
unazo flyover 18 lakini unalalama jam junction,ni wazi hukumjua adui yako kabla uamue kupambana naye.nikukumbushe tu ziko 3 mpak sasa tz.