Nairobi vs Kampala

Nairobi vs Kampala

Wakenya hamna ata akili, hvi unajua maana ya uswazi?? Uswazi imetokana na neno uswahilini boya wew haimaanishi ndo kupo kama kibera bala watu waishio mazingira hayo ni waswahili yenye maana kuwa mambo yao na shughuli zao ni tofauti na maeneo ya kishua

Lenyewe linadhani uswazi kwa kiingereza ndo slums...
Yaani wakenya ni disaster..
 
Kampala labda waifananishe na Mwanza, kwa levels za Dar na Nairobi haijafika bado.
Hata ukiangalia kwa kipimo "quick and dirty" cha skyline tu utaona Kampala ipo ligi daraja la pili na haiwezi kushindana ligi daraja la kwanza zilipo Nairobi na Dar.
Kampala as far as I know, hata uwanja wa ndege wa kimataifa tu mpaka uende Entebbe.
Hata nairobi nayo haina uwanja wa ndege..kwa uchafu nairobi ni chafu zaidi ya Kampala ,picha zisikudanganye..kwa majengo nairobi iko mbele japokuwa ni majengo ya foreigners na investors..
 
Hata nairobi nayo haina uwanja wa ndege..kwa uchafu nairobi ni chafu zaidi ya Kampala ,picha zisikudanganye..kwa majengo nairobi iko mbele japokuwa ni majengo ya foreigners na investors..
Sasa unachanganya mijadala miwili tofauti.
 
Kuna mikenya flani nimeiambia kwamba nairobi inaingia mara tatu kwa Dar es salaam,imeanza kutoa mapovu wakati hiyo ni fact... lakini yenyewe yameangalia ile jam ya thika ndo ikajiridhisha kuwa eti nairo-slums ina Magari mengi..tangu lini jam ikawa ndo kipimo cha magari mengi sehemu?????..kuwepo kwa jam ni kutokana na ubovu wa infrastructure,kukosekana kwa roads nyingine n.k

Enyewe idiot hajui kwamba ye ndo idiot square
 
Kampala is so beautiful,hatulinganishi majengo ya waganda na mchina house..
Kampala+Dar+Kigali+Bunjumbura= Village LDC centres.
NAIROBI= JIJI KUU. (internationally admired)
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
tapatalk_1567738435804.jpeg
tapatalk_1564022600804.jpeg
IMG_20190730_090923.jpeg
 
Umesahau mnavyosema "dar ni kubwa bana, ni sawa na nairobi tatu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Ndio nlikua nataka kukujuza km ukubwa wa jiji sio kigezo cha maendeleo...bali huenda ikawa mmeongeza vijiji ndani
Now Dar against newyork???
 
Hzo estates ni za wakenya pia...labda hko kwenu ndio kutabaki wahindi na waarabu
Sasa wakenya wakiama Nairobi si kutakuwa wageni watupu maana wakenya wazawa wana ishi slum ,siungi mkono kuwafukuza wakenya Nairobi napinga napinva napinga
 
Umesahau mnavyosema "dar ni kubwa bana, ni sawa na nairobi tatu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Ndio nlikua nataka kukujuza km ukubwa wa jiji sio kigezo cha maendeleo...bali huenda ikawa mmeongeza vijiji ndani
Na ujue duniani kuna majiji mengi mengine ni makubwa kuliko hata Dar.. kwa hiyo jiji kuwa kubwa ni moja ya sifa na ndo maana leo hii mmeamua kuiongezea mipaka nairobi mnaita nairobi metro.. japokuwa hamjaweza bado
 
Hyo metro lazima kw majiji km nairobi..hta dar mkitaka itakua

Back
Top Bottom