Nairobi vs Kampala

Nairobi vs Kampala

Nonsense [emoji23][emoji23][emoji23]
Do you know the meaning of slum ata but i think you know because Nairobi pekee zipo slum zaidi ya 20,
Nonsense , unajua vizuri kwamba 70% ya makazi Dar es Salaam ni makazi aina ya slums alafu mnapenda sana kuimba ati Dar ndio jiji kubwa zaidi East Africa.

Dar es Salaam ndio yenye slum kubwa east africa.
 
We umekuja uza vitunguu wataka enjoy nn sasa na wakati jiji huliwez..
Nairobi iwachie wajanja na wenye hela...unafikiria ukifika nai utakaa kijiweni upate umbea wa simba na yanga
Been in Nairobi for two days sinaenjoy chochote
 
Endelea kuskia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]slum kunaishi wazamiaji waliokosa makao na pia kushindwa kupata hata hela ya maana..ila uswazi wengi wanamiliki hayo majumba na wana hati
Naskia kibera ni 3rd largest slum in nairobi, kumbe kuna babu kubwa zingine zinaendelea kuipiku kibera
 
Endelea kuskia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]slum kunaishi wazamiaji waliokosa makao na pia kushindwa kupata hata hela ya maana..ila uswazi wengi wanamiliki hayo majumba na wana hati
Bora uswaz kuliko slums.
Watu wa slums wanaishi dump site.
 
Bwahahaaaa!!!kwhyo ineishinda dar..manake nynyi mko na uswazi wao hawana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna wajichanganya....
Nitajie city yenye uswazi na mm nikutajie za slums
Dar es salaam pekee ndo mji wenyewe uswazi duniani kote,hakuna mji mwingine,

Ila slums ziko nairobi pekee!!! Na kibera is the father of all slums in the world
 
Unaongea kuhusu Sauti Sol? Those are artists and artists can do or say anything to increase their fan base in a particular region (it's called target audience). Naamini hata wewe hapa ushakuwa shabiki wao mkuu kutokana na hayo maneno yao. Lakini mimi nakumbuka kwamba there's a time a head of state from a neighboring country referred to Nairobi as the 'Europe of Africa'. He even urged his countrymen never to borther going to Europe because Europe is just here in Nairobi. That they just need to cross the border and reach Europe! Tafakari hayo

That was a speech delivered very long time ago.
When the tall buildings were only found in Nairobi. Sasa hata Dar kuna majengo ya kutosha.
 
You are trying to sound like a real economist and I can see your fellows clapping and stamping their feet for you. Well, you are just a wannabe. A fellow who the word economics is as foreign to as the profession itself. In my entire life, I have never seen a case where having a stronger currency is a disadvantage and having a weaker currency is a blessing in disguise. If that were the case, Zimbabwe would be a flourishing African state used as a case study as far as development is concerned. Everything you are saying here is just hot water, empty rhetoric meant to hoodwink your fellows and massage their egos.

Saying that $500 million can do more in Tanzania than Kenya because Kenya has a stronger currency is baseless argument that lacks an iota of truth in it. That money can only do more in Tanzania if the cost of raw materials and other factors of production are cheaper in Tanzania than Kenya, but not because Tanzania has a weaker currency. That is stupid argument and way of looking at things. How does a stronger currency result to high cost of production as you imply above? What economic explanation can support this argument? High costs of production come as a result of many factors, key among them being taxation, cost of electricity among many other things. I have never seen a case where having a strong currency is a factor leading to high cost of production.
Wadanganye watanzania wenzako, sio sisi!

Ahaa ha ha ha
😁😂🤣
My mbavu.

The kes is stronger than j¥?
So Kenya' economy is bigger and better than Japan's?

Why China is blamed by US for devaluing her currency?

Please if you are not expert in international finance and trade, it's better for you to keep quiet.
 
I'm happy and proud to see people in here JF have been able to distinguish between slums and unplanned settlements.
Good guys.
 
Bwahahaaaa!!naona umekua mnynge kweli...haya pole yako
Dar es salaam pekee ndo mji wenyewe uswazi duniani kote,hakuna mji mwingine,

Ila slums ziko nairobi pekee!!! Na kibera is the father of all slums in the world
 
Nasikia Naii chapaa ni chakuka cha anasa wakenya wanapenda chapati hadi usiku zinapikwa
We umekuja uza vitunguu wataka enjoy nn sasa na wakati jiji huliwez..
Nairobi iwachie wajanja na wenye hela...unafikiria ukifika nai utakaa kijiweni upate umbea wa simba na yanga
 
Mafukara wapi na wana makwao...shobo tu zile za kuzamia mjini enzi zile...
Sasa wakenya wakiama Nairobi si kutakuwa wageni watupu maana wakenya wazawa wana ishi slum ,siungi mkono kuwafukuza wakenya Nairobi napinga napinva napinga
 
Hivi lini Dar iliishinda Mombasa, maana ndio level yake, ama kwa kujenga majengo mawili mkaanza kutunisha misuli na kujiona mumekaribia hadhi ya kupimana na Nairobi.
Mjenge walau superhighway moja ili muwaze kuitaja Nairobi, sio hapo mlijenga flyover moja ikawa kivutio cha watalii Tanzania yote, ilhali flyover za Nairobi tumezichoka.

Hivi unafahamu uchumi wa Nairobi pekee yake unatoshana na uchumi wa Tanzania yote, yaani muungano wa nchi zote mbili Tanganyika na Zanzibar.
HIVI NAIRONI NI FLYOVER AU MIFANO YA MADARAJA MAFUPI TU?
 
Nonsense , unajua vizuri kwamba 70% ya makazi Dar es Salaam ni makazi aina ya slums alafu mnapenda sana kuimba ati Dar ndio jiji kubwa zaidi East Africa.
Dar es Salaam ndio yenye slum kubwa east africa.
Nooooo usiisingizie Dar wakati dunia yote inatambua kuwa kibera is the third biggest and worst slum in the world,korogocho,kawangware and mathare follow after himself kibera...
 
Hebu msifananishe Nairobi yetu na vitu vya kijinga, Kampala hawana hii bus terminal ya kimataifa mpaka naingia kaburini 😂😂😂😂

nairobi_bus_terminal.jpg
Wakenya toeni uchafu wenu wa kijinga
 
Back
Top Bottom