REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
ππππ Utafikiri bomb ya hydrogen limekosea njiaNaona raia wa Nairobi wametelekezwa π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ Utafikiri bomb ya hydrogen limekosea njiaNaona raia wa Nairobi wametelekezwa π
πππ Chapoo kwa ketepa ni anasa himilivuAlafu eti chapo ni chakula cha anasa Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ww umeishi KiberaMosi mosi wasee.. niaje! Gai.. kwani nime manga bibi zenu mpaka mna catch ki hivyo. Zi wasee
[emoji23][emoji23][emoji23] Chapoo kwa ketepa ni anasa himilivu
Tatizo unaandika "hujuangi".Wewe hujuangi.. Kampala aina Airport coz ni milima mingi. Nai Vs Kampala ni fair
Hahahaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. kuna ma landlord wengine huwa ni tafashi banaLand lord wa hiyo kejani hubamba mukuchu kwa force sana, halafu side ime jaa na masafara wa kutupwa jo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rent hapo haikai zaidi ya five banga, you know side hiyo ni ya makapurwa na lasma kuwe na mapuuupa saa yooote!! Wasee hawapafeel jo
Masee wewe ushikanishi any.. Kampala niku noma, kuna ma place ka Bugolobi kunaka kivingine yani. Ingianga google ujibambe mwenyeweTatizo unaandika "hujuangi".
Weka skylines za Kampala, Nairobi na Dar tuanze hapo kwanza na simple litmus test tu.
Zi.. nime stay sana Nalendwa KisumuWw umeishi Kibera
Mimi pia huwa sio mpenzi wa kidandia vitu ila baada ya kuona comment yako na kukuona upo kitambo humu Jf imenibidi na mimi nichangie.Mi ni mtanzania halisi na mwafrika mashariki mbobezi...
Siweki ushabiki au uchachandu ila ukweli ulio dhahiri...
Bila kupepesa macho wala kuona aibu
1. Nairobi
2. Dar Es Salaam
3. Kampala
4. Kigali
5. Bujumbura
Nimemaliza
mkuu mimi ni mtz, ila unapoteza tu mda wako kwenye hzi mada zishakua nyingi sana huku na akuna aliepata ata kumi kwenye izi mada labda jamii forum tu wenyewe ndo wamepata faida: acha kupoteza mda wako, kama hujawahi kwenda nairobi we tafuta kazi ufanye, dar haiwezi kufika level ya nairobi mwaka huu: wala miaka kumi, remember na wao hawajasmama, ingawa wana changamoto zao za apa na pale ila ukwel ni kwamba wapo mbele sana kuanzia currency yao mpaka infrastructures: bado tuna kazi kubwa kufika walipofika, na kama wananchi hawafanyi kazi sasa kufika izo level tutabaki tu uku kwenye forum, mwisho wa mada: i can hardly say dar inaweza kua ya tatu kwenye miaka ya karibuni, ulishawahi ona wauganda wako wanabishana uku? ila mwaka huu wametangazwa as the best enterprenueal country in the WORLD not in AFRICA but in the WOOOORLD:
Mimi ni mkenya, nilikuanga naamini Nai iko poa zaidi EA. Nikaja kuona pics na video za Dar.. nime agree Dar nikunoma masee. Nita come huko ku visitMimi pia huwa sio mpenzi wa kidandia vitu ila baada ya kuona comment yako na kukuona upo kitambo humu Jf imenibidi na mimi nichangie.
Ni ukweli usiopingika kabisaaaa, hakuna JIJI KAMA NAIROBI hapa East Afrika. Kwa tathmini ndogo ni sawa kuilinganisha kiuchumi Kenya na Tanzania, kitu ambacho hakipo sawa kabisa japo tunabaki kujipa moyo tu.
Kenya inaendelea kutokana na viongozi kubadilika, kule hakuna uchama ila kuna maslahi ya Taifa mbele, ila huku Tanzania ni uchama na mdomo tu.
Ni aibu kubwa mno kwa watanzania kujishindanisha na nchi kama Kenya, sio Tz tu bali East Afrika kwa ujumla. Hawa wenzetu wamepiga hatua haswa.
Nairobi isifananishwe na jiji lolote hapa EA.
Pole ndio wale walipokaji ungekaa kimya tu Kama mwanzoMimi pia huwa sio mpenzi wa kidandia vitu ila baada ya kuona comment yako na kukuona upo kitambo humu Jf imenibidi na mimi nichangie.
Ni ukweli usiopingika kabisaaaa, hakuna JIJI KAMA NAIROBI hapa East Afrika. Kwa tathmini ndogo ni sawa kuilinganisha kiuchumi Kenya na Tanzania, kitu ambacho hakipo sawa kabisa japo tunabaki kujipa moyo tu.
Kenya inaendelea kutokana na viongozi kubadilika, kule hakuna uchama ila kuna maslahi ya Taifa mbele, ila huku Tanzania ni uchama na mdomo tu.
Ni aibu kubwa mno kwa watanzania kujishindanisha na nchi kama Kenya, sio Tz tu bali East Afrika kwa ujumla. Hawa wenzetu wamepiga hatua haswa.
Nairobi isifananishwe na jiji lolote hapa EA.
Nyalenda Kisumu. Haha napajua hapoZi.. nime stay sana Nalendwa Kisumu
Mimi pia huwa sio mpenzi wa kidandia vitu ila baada ya kuona comment yako na kukuona upo kitambo humu Jf imenibidi na mimi nichangie.
Ni ukweli usiopingika kabisaaaa, hakuna JIJI KAMA NAIROBI hapa East Afrika. Kwa tathmini ndogo ni sawa kuilinganisha kiuchumi Kenya na Tanzania, kitu ambacho hakipo sawa kabisa japo tunabaki kujipa moyo tu.
Kenya inaendelea kutokana na viongozi kubadilika, kule hakuna uchama ila kuna maslahi ya Taifa mbele, ila huku Tanzania ni uchama na mdomo tu.
Ni aibu kubwa mno kwa watanzania kujishindanisha na nchi kama Kenya, sio Tz tu bali East Afrika kwa ujumla. Hawa wenzetu wamepiga hatua haswa.
Nairobi isifananishwe na jiji lolote hapa EA.
[emoji16][emoji16][emoji16]wewe umelala usingizi wa icu.na hili ndio tatizo lenu baadhi ya wakenya.mnajisahau mno na kuamini maisha nje ya nairobi yamesimama.Mimi pia huwa sio mpenzi wa kidandia vitu ila baada ya kuona comment yako na kukuona upo kitambo humu Jf imenibidi na mimi nichangie.
Ni ukweli usiopingika kabisaaaa, hakuna JIJI KAMA NAIROBI hapa East Afrika. Kwa tathmini ndogo ni sawa kuilinganisha kiuchumi Kenya na Tanzania, kitu ambacho hakipo sawa kabisa japo tunabaki kujipa moyo tu.
Kenya inaendelea kutokana na viongozi kubadilika, kule hakuna uchama ila kuna maslahi ya Taifa mbele, ila huku Tanzania ni uchama na mdomo tu.
Ni aibu kubwa mno kwa watanzania kujishindanisha na nchi kama Kenya, sio Tz tu bali East Afrika kwa ujumla. Hawa wenzetu wamepiga hatua haswa.
Nairobi isifananishwe na jiji lolote hapa EA.
wenyewe kenya wanajua.Hapo ndio manjiona mmeyapatia wenyewe kama wale wanaovaa sendo na sox au sio?
Mnashirikiana bila fact... Jitahidin basi hata msafiri mufike katika sehem tajwa mtamezeshwa matango pori.
Alafu pitien pitieni vitabu vya uchumi muone GDP inapatikana vipi... Msipagawe pagawe kila mnachosimuliwa.
Nairob ni taifa la mabeberu.. Ranking nyingi zinapita pale... Ukiitaka kuijua nai nenda kajionee.. Vitabu vitakudanganya...
We haushangai gdp wapo juu ila ajira mbovu... Huduma za kijamii ni mbovu... Bidhaa bei za ajabu... Njaa imetawala bado nchi ipo insecure...
Sasa vinatokana na nin unafikiri.
Jifunzeni msiropoke.
Mi nawaambia... Nimebahatika kutembea nchi zote east and central africa...
Tanzania ni zaidi ya bora wakuu.
Bujumbura ni Manispaa tu, haijafika hadhi ya jiji.Mi ni mtanzania halisi na mwafrika mashariki mbobezi...
Siweki ushabiki au uchachandu ila ukweli ulio dhahiri...
Bila kupepesa macho wala kuona aibu
1. Nairobi
2. Dar Es Salaam
3. Kampala
4. Kigali
5. Bujumbura
Nimemaliza
naikuingie maana simunajiona ni waulaya hiyo hapo ndo bus terminal yenu
Tunazungumzia kuhusu East Africa kijana tuliza akili.
Una akili timamu ww????
New York imetokea wapi???
Ilhali twaizungumzia Africa???
New York yako haifikiii ht robo mji wa Doha Qatar ama Abudhabi Dubai New York yako haifui dafu ng'oooo hatta iende kwa mganga wa kienyeji.
![]()
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Itawachukua Kampala several centuries kutufikia Nairobi hapa