Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Hii sasa ni utoto. Au pengine bange mbichiIt is time to compare these two cities
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sasa ni utoto. Au pengine bange mbichiIt is time to compare these two cities
Tell one gold mining that Nairobi has or even port! Mwanza has 2 breweries like Nairobi 2 soft drinks company like NairobiDuuuh!! Usilinganishe Nairobi na Choo..... Tafadhali hiyo kieleweke
Wahindi pure wapo bombay na waarabu og wapo oman na UAE nyinyi ambao mpo east africa ni wahindi toleo la mwisho yani fake au wakuchovya.Nawarabu na wahindi Jeh? we are the richest in your country by far... u others only want free money to collect gold in your shamba..why not build big companies like us?
Hahahahahaaaa...Hapa ndio mtu anasemaga Mmmh! kama Bishop Hiluka.
Mwanza, Less poverty rates Than Nairobi,
No slums In mwanza, but Nairobi is a Bunch of slums
Plentiful foods in Mwanza nairobi njaa Kali,
Adequate social services in Mwanza, (maji, Umeme, elimu na huduma za Afya), Nairobi kipindupindu hadi kwenye 3* Hotels,
Overall maisha ya mwanza ni Mazuri kuliko Nairobi,
Tihihihi.... Hospitali ya vichaa iko wazi leo wewe.... Naona yako imeenda akilini... Nani alikuroga? ??Football stadium in Mwanza is bigger than all stadiums in Kenya
Anavinasaba vya homoni za jinsia tofauti na yetu wanaume[emoji23][emoji23] naona anapenda mipashooHuyu jamaa amekili kuwa yuko unemployed. Yupo hapo Kenya kama muarabu anavyodai. Mwanzo alijulikana kama Nikstan 254View attachment 720666
Nairobi pia ina slums mwanza hainaKingine Nairobi ina flying toilets Mwanza haina.