Nairobi wins big in Africa venture capital funding

mwathadan

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
3,136
Reaction score
4,271
Kenya accounted for the second largest volume of venture capital deals in Africa after South Africa between 2015 and 2019, helped by its position as the eastern Africa regional economic hub.

A report by the African Private Equity and Venture Capital Association (AVCA) on VC deals for the period shows that Kenya accounted for 18 percent of the $3.9 billion (Sh415.4 billion) total VC deals in the five-year period, translating to about $702 million (Sh74.8 billion).

South Africa led the continent at 21 percent and Nigeria was third at 14 percent, with the top three countries enjoying the advantage of being the financial centres of the respective regions.

Many firms looking to invest in the region base themselves in Nairobi, taking advantage of the city’s transportation links to global peers, lack of foreign exchange controls and an educated labour force.

“In terms of countries, South Africa, Kenya and Nigeria have attracted the bulk of VC investments between 2014 and 2019, reflecting similar patterns to PE activity on the continent,” said AVCA in its inaugural report on venture capital.
 
Na hii pia kaka Chamoto inahitaji akili kubwa sio mapambio ya kusifia chama..... Afrika hii tunaibamiza, tushaitia kwapani.
 
hongera sana vijana wetu mnajituma kwa kutumia ze akiliz kubwa! na kupiga hela kweli kweli....sio mambo ya kutegea tegea huko migodini kama waswahili..nyambaf nyambaf sana..
 
Ingekua ni Tanzania je, ungeandika nini humu?.,
Unatamani ingekua ni Tz najua., kila siku facts are putting Tz in its place. Domo domo ndio mingi humu.
Tumeshawazoea nyie nyang'au. Corona inazidi kuwabamiza kila kukicha.
 
Unaumwa sana. Sasa taarifa hii ina uhusiano gani na corona?, ama makosa yake iko wapi?., wewe nielezee ju naona imekukera sana! Ama ni matusi? Ambia mods waitoe humu basi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unateseka sana.
 
Kwisha kazi yenyu.
 
Haina maajabu yoyote Nairobi.You can't choose Nairobi over Dar even in terms of skyline. Maybe slums.
 
Hehehehe!!! Huwa nacheka mnavyopenda kujiliwaza kibongo bongo mkishindwa, mnajibu kizembe sana, halafu kwenye haya madubwasha ya VC yaani Wabongo huwa mumelala sana, hampeani maujanja mpo mpo tu, kazi yenu kukwamishana, kuna Mbongo fulani mshkaji wangu alikua na idea fulani hivi hapo Dar, yaani idea moja ya nguvu kinoma yaani.
Alipambana kufanikisha prototype, alikua hadi na ofisi hapo COSTECH, jamaa alikua anakeshea hicho kitu mpaka kula, kunywa kulala vyote alikua anavifanyia ofisini, kawa kama chizi kwa utashi, nilikua namtembelea kila nikipata fursa, wazo lake hilo akawa anawasilisha kwa wakuu na wawekezaji wa Bongo na kusklizwa kwa makini, nikajua mshkaji atatusua vinoma, yaani siku nikirudi Bongo tutakula nyama choma akiwa CEO ameegesha bonge la BMW hapo Milimani city.

Miaka kadhaa baadaye nilimtafuta kujua hatima yake, aisei jamaa ameajiriwa sehemu kwenye kazi nyingine tofauti sana isiyohusiana na na kile alichokua anafukuzia, tena hataki hayo mambo kabisa, keshachoka maana hakuna aliyemshika mikono na kumsaidia kwenye mikimbio yake, kafulia tu kwenye usafiri wa midaladala nauli 400 shs.

Na sio huyo tu, kuna mwingine tena mshkaji alikua na idea kali tu, kwanza huyu nilimsaidia hata kufanikisha prototype, kachoshwa sana kwenye mikimbio, akakata tamaa na kuendelea na mengine, ila kuna kipindi mwaka jana kanipigia simu amepata watu wamemskliza hivyo ataamsha dude, sijamfuata tena kujua kama keshatoka kimasomaso au ndio yale yale.
 
Hili umesema kweli leo.Watu wana idea kali mtaani wanakosa support mwishowe wanapotezea.Nadhani serikali yetu haijatupia jicho kwenye hili na wanazidi kuchelewa tu.
Ila vipi kwa upande wenu,mna sera wezeshi za kuwasaidia watu wa namna hii? Au ndo yaleyale.
 
Taarifa za huu uzi ni jibu sahihi kwenye swali lako hilo, hususan hii sentensi "Kenya accounted for the second largest volume of venture capital deals in Africa".
Mifuko ipo kadhaa kwa ajili start up, ila pia vituo vya mentors vipo vingi sana, wewe ukiwa na idea yako kali na una uwezo wa kufanikisha prototye (hivi neno prototype kwa kiswahili nini), kunao wanakusaidia kuwasilisha, inapigwa ukarabati na kung'aa kimataifa, documents zinaandaliwa, mikakati inachorwa mwanzo mwisho......
 
Na sijawahi sikia Mkenya yoyote kang'ara kwa kupitia hii njia hadi atambulike kimataifa,why?
 
Utakua sio mfuatiliaji wa masuala ya VC ila kikubwa sio kung'aa na kutambulika kimataifa, cha msingi ni upate uwekezaji kwenye wazo lako, unatiliwa kitita cha hela kama dollar milioni kumi hivi ili ufanikishe kampuni, unaajiri wenzako na kuhakikisha kipato.
Waza uko gheto hapo kitaa na laptop yako, unawaza app fulani hivi, unatafuta mentor anakusaidia kuipigia debe, unatiliwa dola milioni kadhaa ufanikishe, sasa hutakua na muda wa kuwaza kutambulika kimataifa, kuanzia hapo utakua na pressure za kuhakikisha kikampuni chako kinapambana na pia kumbuka hela hukupewa za bure, wawekezaji wanasubiri gawio.

Kuna Mbongo fulani humu JF nimesahau handle yake, huwa yuko vizuri kwenye haya mambo, niliwahi kuona akijadili na wakenya kwenye baadhi ya nyuzi humu na ni wazi keshakuja Kenya na kufanya baadhi ya haya mambo.
 
Umeanza tena zile drama zako.Ila poa lakini😅
 
Very nice post, I am glad to discover this page. I have to thank you for the time I spent on this especially great reading !! I really liked each part and also bookmarked you for new information on your site. Further, I would like to suggest that you can get the best software for your firm.
Nowadays I see Techimply as the best software recommendation platform. If you interested? visit Techimply.
 
Back
Top Bottom