Nairobi's GDP is far much ahead of Tanzania's as a whole.

“Total wealth” refers to the private wealth held by all the individuals living in each city. It includes all their assets (property, cash, equities and business interests) less any liabilities. We exclude government funds from our figures.
sasa wewe hiyo research ya GDP ya Tanzania nzima-kwa private wealth kwa miji 25 iliyobaki ukitoa dar es salaam umeifanyia wapi?
 
Ok,
Assume Kenya's GDP is $69bn, means $19bn is all what all counties Ganarates,
I don't think this is something to brag, how can 94% Kenyans outside Nairobi generate ~10% of your GDP???
Ndio maana nje ya Nairobi Kenya ni majalala.

For them Nairobi is Kenya. Meaning better abandon the rest of the country but not Nairobi.
 
the rest of kenya has 3600 millionares(nai excluded) this is more than tz....no city in tz can come close to mombasa...mombasa is on the list....youre mad to imagine the rest of kenya is abandoned when mwamza is not even 100th of mombasa
 
Kwangu mimi kama ni kweli basi ni jambo la kusikitisha kwa nchi ya Kenya kwani ina maana ukiondoa Nairobi, Kenya hakuna kitu.

Kenya ina zaidi ya watu milioni 40 na Nairobi chini ya watu milioni 3 na Uchumi wa Nairobi zaidi ya 3/4 uko chini ya Asians na Muzungu sasa kuna kipi cha kujivunia hapo kwa Mkenya mweusi?
Ok,
Assume Kenya's GDP is $69bn, means $19bn is all what all counties Ganarates,
I don't think this is something to brag, how can 94% Kenyans outside Nairobi generate ~10% of your GDP???
Ndio maana nje ya Nairobi Kenya ni majalala.
 
So then Mombasa can be half the size of Danganyika 's Economy....
 
Lakini hii ni aibu kwa kweli, yaani uchumi wa liinchi likubwa lenye madini na kila kitu ni sawa na uchumi wa mji wa kainchi jirani ambako nusu yake ni kame tupu, mivivu kwa kweli.
 
Aibu ni kwako wewe unayeamini jambo hilo.
It just makes you a happy broke man ... it's therapeutic in a way but dumb in essence.
 
Nairobi GDP $950bln what a good news ...yani iko juu ya Moscow n Beijing by far...
 
Aibu ni kwako wewe unayeamini jambo hilo.
It just makes you a happy broke man ... it's therapeutic in a way but dumb in essence.
Your anger betrays you bruh! you ought to get laid man...umekuwa kijana mtukutu ako na kutu apewe mutu..ulambwe lolo.
 
Lakini hii ni aibu kwa kweli, yaani uchumi wa liinchi likubwa lenye madini na kila kitu ni sawa na uchumi wa mji wa kainchi jirani ambako nusu yake ni kame tupu, mivivu kwa kweli.
😀😀
 
Back
Top Bottom