NAISAIDIA YANGA: Majina/ramani ya vituo vya yatima Khartoum haya hapa katembeleeni kuiwezesha ile ndagu yenu

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ni ujinga kufanya hiyo ndagu kwa mechi 30 za TFF ambapo mwisho wa msimu unapata millions 500 wakati leo ukiifanya hapo Khartoum unaingia makundi na kujipatia billion 1.2.

Ule mtindo wa kutembelea vituo yatima msiogope wandugu, ipigeni leo mkitua hapo mchana. Wahi supermarket kanunueni mazagazaga, Mwamnyeto akae mbele kabisa kabeba magunia ya sukari na mchele baada ya hapo mkapumzike hotelini. Maneno ya kunuizia mnayofanyaga kwa hao yatima mnayajua wenyewe.

Ramani hii hapa, vituo vikubwa ni viwili MYGOMA Orphanage na SOS Children Village Khartoum.


 
mnajitoa ufahamu kirahisi ivyo??
 
Hapo lazima waende Al-Remaiyla cemetery. Ndio sehemu pekee inaweza kuwapunguzia aibu.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…