Naishataki Vodacom na Tigo Tanzania Kwa hasara walionipa

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
1,821
Reaction score
6,119
Imekuwa kawaida kwangu kutapeliwa pesa ninazobadili kuwa vocha, natuma kwenda Vodacom kutoka Tigo lakini upande wa Vodacom hazifiki. Huduma Kwa wateja Tigo wanadai wao wametimiza jukumu Lao kwa kufanikisha pesa kutumwa kikamilifu..

Matokeo, pesa hairudi na vocha sipati. Naingia hasara na hadi sasa jumla ya pesa niliyotapeliwa ni zaidi ya 50k.

Ushahidi ninao na vielelezo ninavyo..
 
Achana na mtandao wa voda
 
Mimi nilituma muamala kweny kampuni flani hivi 15k yule jamaa akaniambia nirudishe muamala weeeh si nikarudisha nilichokutana nacho baada ya kuwapigia voda wanasema muamala utarudi ndani ya masaa 72 qbbk mpka leo hamna kitu
 
Nje ya mada kidogo wakuu🙏🙏
. Hivi hizi account za mitandao ya simu zinaweza kuhold pesa hadi kiasi gani maximum??
I mean Tigopesa,. Mpesa Halopesa au Airtelmoney
 
TIGO wezi balaa. Lakini siku za karibuni there was some improvement in their service.
 
Nje ya mada kidogo wakuu🙏🙏
. Hivi hizi account za mitandao ya simu zinaweza kuhold pesa hadi kiasi gani maximum??
I mean Tigopesa,. Mpesa Halopesa au Airtelmoney
Mwanzoni ilikuwa ni 5m. Corona ilipokuja wakapandisha kuwa 10m.

Kuna line zinazoweza kuhold mpaka Billion Moja.

So, hutegemea sana na aina ya line na matumizi yake.
 
Mwanzoni ilikuwa ni 5m. Corona ilipokuja wakapandisha kuwa 10m.

Kuna line zinazoweza kuhold mpaka Billion Moja.

So, hutegemea sana na aina ya line na matumizi yake.
Okay,. Kwamfano za mtandao gani zinaweza kuhold iyo 10m,. Na unajuaje ??
 
Pole Sana mkuu, mm hii iishawahi Nikuta nikahamisha pesa kutoka tigo kwenda vodacom, cha ajabu voda wanasema muamala umerud tigo nilienda tigo nao wanasema muamala upo voda kiufupi tigo na Vodacom majizi Hadi Leo hii elf 90 yangu nilipotea nililalamika kwenye majukwaa ya Mitandao lakin sikupatiwa ufumbuxi
 

Nadhani ni Kwa sababu tunaishia kulalamika bila kuchukua hatua..!

Mimi naanza kuchukua hatua
 
Scenerio yako imenikuta, uzuri pesa ilikuwa natuma kutoka tigo kwenda voda kununua airtime ya kawaida.. Kwa hiyo pesa zote haizidi 10,000

Utapiga simu kuwaulizs, wanakujibu tunashughulikia Ila ndio imetoka. Sasa najiuliza kwa zile siku ambazo ilikuwa inagoma na sikufuatilia ina maanisha walikuwa wanaiba.. Huu ni wizi
 
Sasa jiulize, wameibia wangapi Kwa uhuni wa namna hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…