Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,119
Imekuwa kawaida kwangu kutapeliwa pesa ninazobadili kuwa vocha, natuma kwenda Vodacom kutoka Tigo lakini upande wa Vodacom hazifiki. Huduma Kwa wateja Tigo wanadai wao wametimiza jukumu Lao kwa kufanikisha pesa kutumwa kikamilifu..
Matokeo, pesa hairudi na vocha sipati. Naingia hasara na hadi sasa jumla ya pesa niliyotapeliwa ni zaidi ya 50k.
Ushahidi ninao na vielelezo ninavyo..
Matokeo, pesa hairudi na vocha sipati. Naingia hasara na hadi sasa jumla ya pesa niliyotapeliwa ni zaidi ya 50k.
Ushahidi ninao na vielelezo ninavyo..