Katika biashara yeyote ushindani ndiyo kitu muhimu na matokeo yake kila mshindani anajitahidi kutangaza bidhaa/huduma yake na kwa ubora unaotakiwa. Miaka mitano iliyopita kulikuwa na ushindani katika sekta ya usafiri wa anga baina ya Air Tanzania, Fastjet na Precision.
lifikia wakati abiria kutoka Mwanza hadi Dar es Salaam anasafiri kwa gharama ya Tshs. 90,000. Ilipoingia Serikali ya Awamu ya Tano ushindani wa sekta ya anga ilisitishwa licha ya Fastjet kuomba leseni ya usafiri wa anga lakini haikufanikiwa. Ninaishauri Mamlaka kurudisha ushindani katika sekta ya anga na hii itafanya mashirika yanayosimamia sekta ya anga kuboresha huduma zao pamoja hata kushusha nauli kwa wasafiri.