Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atcl walipewa ndege mpyaaa kutoka moja kwa moja kiwandaniKweli sgr serikali haitoweza kuiendesha,bora waingie ubia
Watafeli mapema sana
Ova
hakuna mtu mwenye shida nao, though uarabuni hawana historia ya kuendesha vizuri treni, hayo mambo mpe mzungu au mchina au japani ambao hata kabla Tanzania haijazaliwa walikuwa wanatumia trams na train. mwarabu mpe bandari, ila kwa mkataba sio kama ule.Kwa kuwa watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP world watuendeshee SGR Yetu.
Tukiwapa DP world tutapata mafanikio zaidi ya hayo tutakayoyapaya kwa kuwapa bandari yetu.
Muhimu ni kwamba SGR itaanza kazi bila kuwa na mafisadi.
Hilo la kasoro za mkataba siyo kwamba watanzania walioingia huo mkataba na DP world hawakuziona au hawazijui, ila kasoro hizo zipo na huenda zikaendelea kuwepo kwa sababu: pesa ya dp world inaongea.hakuna mtu mwenye shida nao, though uarabuni hawana historia ya kuendesha vizuri treni, hayo mambo mpe mzungu au mchina au japani ambao hata kabla Tanzania haijazaliwa walikuwa wanatumia trams na train. mwarabu mpe bandari, ila kwa mkataba sio kama ule.
binafsi naamini DP WORLD wanaweza kuwa wawekezaji bora kuliko hata mzungu kwasababu kwa connection ya dubai meli nyingi zitalazimika kupitia bongo. shida ni kwenye vitu viwili tu(2), cha kwanza, kwamba tusiendeleze bandari ingine ili bandari ya kagame kigali na ile wanayoendesha wao bongo pekee ndio zifanye kazi (zikusanye mpunga), tusiweze kujenga bandari mpya ya bagamoyo, kujenga tanga wala mtwara, labda kama wao watakuwa wameacha kufanya kazi. kitu kingine, inakuwaje hakuna ukomo wa mkataba?. ukiondoa kasoro hizi mbili, hawa dubai ni bora kuliko wazungu.Hilo la kasoro za mkataba siyo kwamba watanzania walioingia huo mkataba na DP world hawakuziona au hawazijui, ila kasoro hizo zipo na huenda zikaendelea kuwepo kwa sababu: pesa ya dp world inaongea.
HaswaaaaKwa kuwa watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP world watuendeshee SGR Yetu.
Tukiwapa DP world tutapata mafanikio zaidi ya hayo tutakayoyapaya kwa kuwapa bandari yetu.
Muhimu ni kwamba SGR itaanza kazi bila kuwa na mafisadi.
Nakazia mkuuMimi naishauri Serikali, waipe Dubai Ikulu ya Dodoma kwa kuanzia waiendeshe wao. 😕
Shekhee msikitii hapana Kwa kwelii😅😅Ule Msikiti wa Dodoma wapewe Dubai pia 😅
WAZO ZURIKwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu.
Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari yetu.
Kwa kuwapa DP World, muhimu ni kwamba, SGR yetu itaanza kazi bila kuwa na mafisadi.
Ni sawa kwa DP world wapewe huo msikiti wauendeshe. Tukiwaachia hawa mashehe ubwabwa wa kwetu watakwiba hadi vyoyoziShekhee msikitii hapana Kwa kwelii😅😅