Naishauri serikali iwape tena DP world umiliki wa SGR yetu milele

DPW wapewe pia watuboreshee Hospitali yetu ya Milembe.

Kuna Wagonjwa wengi ambao soon wanaenda kutupa siruwali lakini wako uraiani
 
Kweli sgr serikali haitoweza kuiendesha,bora waingie ubia
Watafeli mapema sana

Ova
Atcl walipewa ndege mpyaaa kutoka moja kwa moja kiwandani

Leo miaka chini ya mitano, ndege zimeharibika, kila mwaka wanapata hasara, serikali badala ya kupata gawio inawapa ruzuku ili iweze kujiendesha

Ndege ya mizigo iliyonunuliwa juzi imeshaanza kuingiza hasara hata kabla ya kuanza kazi kwa kuwa imeegeshwa tu toka ifike
 
hakuna mtu mwenye shida nao, though uarabuni hawana historia ya kuendesha vizuri treni, hayo mambo mpe mzungu au mchina au japani ambao hata kabla Tanzania haijazaliwa walikuwa wanatumia trams na train. mwarabu mpe bandari, ila kwa mkataba sio kama ule.
 
Hilo la kasoro za mkataba siyo kwamba watanzania walioingia huo mkataba na DP world hawakuziona au hawazijui, ila kasoro hizo zipo na huenda zikaendelea kuwepo kwa sababu: pesa ya dp world inaongea.
 
Hilo la kasoro za mkataba siyo kwamba watanzania walioingia huo mkataba na DP world hawakuziona au hawazijui, ila kasoro hizo zipo na huenda zikaendelea kuwepo kwa sababu: pesa ya dp world inaongea.
binafsi naamini DP WORLD wanaweza kuwa wawekezaji bora kuliko hata mzungu kwasababu kwa connection ya dubai meli nyingi zitalazimika kupitia bongo. shida ni kwenye vitu viwili tu(2), cha kwanza, kwamba tusiendeleze bandari ingine ili bandari ya kagame kigali na ile wanayoendesha wao bongo pekee ndio zifanye kazi (zikusanye mpunga), tusiweze kujenga bandari mpya ya bagamoyo, kujenga tanga wala mtwara, labda kama wao watakuwa wameacha kufanya kazi. kitu kingine, inakuwaje hakuna ukomo wa mkataba?. ukiondoa kasoro hizi mbili, hawa dubai ni bora kuliko wazungu.
 
Haswaaaa
 
WAZO ZURI
 
Magufuli atafufuka aje kuwachapa watu viboko.
 
Shekhee msikitii hapana Kwa kwelii😅😅
Ni sawa kwa DP world wapewe huo msikiti wauendeshe. Tukiwaachia hawa mashehe ubwabwa wa kwetu watakwiba hadi vyoyozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…