Naishi Arusha nataka kulima Tanga, naomba ushauri

MegamindTesha

New Member
Joined
Jul 18, 2024
Posts
3
Reaction score
3
Nina shamba la familia wilaya ya muheza, kilapura, Tanga. Ni shamba lenye ukubwa wa ekari 8.

Mimi nafanya kazi Arusha, hilo ndo jambo kubwa linalonipa mashaka katika usimamizi. Japo naweza pata muda wa kutembelea shamba mara moja au mbili kwa mwezi
 
Kilapula sehemu gani? Kuna ukame nowadays maeneo hayo. Nenda Azimio utakuta mashamba yote yalitelekezwa kwa sababu ya ukame. Think twice biashara ya kulima kutegemea mvua za Sir god!
 
Kilapula sehemu gani? Kuna ukame nowadays maeneo hayo. Nenda Azimio utakuta mashamba yote yalitelekezwa kwa sanbabu ya ukame. Think twice biashara ya kulima kutegemea mvua za Sir god!
Uza hizo heka nane zote.

Kisha tafuta eneo la heka mbili kitivo nunua panda magimbi.

Utajua utatafuta wapi.
 
Kilapula sehemu gani? Kuna ukame nowadays maeneo hayo. Nenda Azimio utakuta mashamba yote yalitelekezwa kwa sababu ya ukame. Think twice biashara ya kulima kutegemea mvua za Sir god!
Kilapura,machemba ndio shamba lilipo. Mto mkurumuzi umepita karibu na shamba lkn maji yake ni ya msimu
 
Nina shamba la familia wilaya ya muheza, kilapura, Tanga. Ni shamba lenye ukubwa wa ekari 8.

Mimi nafanya kazi Arusha, hilo ndo jambo kubwa linalonipa mashaka katika usimamizi. Japo naweza pata muda wa kutembelea shamba mara moja au mbili kwa mwezi
Unaishi arusha lima arusha. Uza shamba la tanga nunua lingine arusha ambapo utaweza kufika kwa wakati na kulisimamia. Pia nunua ambalo liko karibu na chanzo cha maji. Mwezi ni muda mrefu kutembelea. Uwe na uwezo wa kufika kwa haraka wakati wowote na usiweke ratiba maalumu.
 
Asante kwa ushauli MAMESHO
 
Nina shamba la familia wilaya ya muheza, kilapura, Tanga. Ni shamba lenye ukubwa wa ekari 8.

Mimi nafanya kazi Arusha, hilo ndo jambo kubwa linalonipa mashaka katika usimamizi. Japo naweza pata muda wa kutembelea shamba mara moja au mbili kwa mwezi
Nenda kalime mkonge hutojutia,huko mjini hutopataka sasa hivi mkonge ndio habari ya mjini
 
Nina shamba la familia wilaya ya muheza, kilapura, Tanga. Ni shamba lenye ukubwa wa ekari 8.

Mimi nafanya kazi Arusha, hilo ndo jambo kubwa linalonipa mashaka katika usimamizi. Japo naweza pata muda wa kutembelea shamba mara moja au mbili kwa mwezi
Kama haupo mwenyewe kusimamia panda mazao ya kudumu. Machungwa yanakubali muheza, japo unaweza kufanya bidii ukawepo wakati wa msimu.
 
Back
Top Bottom