Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Shida nini, hulipwi au?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Haya maisha acha kabisa...
Juzi kati usiku narudi zangu home, nakutana na mchizi mmoja yuko smart kimavazi na bahasha mkononi (sijui anafanya kazi gani)
Ila mchizi alinishika mkono akaniambia " Ebwana sina nauli nahapo nilipo sijala toka jana, unisaidie tu elfu mbili".
Aiseee sikutaka kujua kwanini hajala na kwann hana nauli. Nilimpa tano elfu.
Haya maisha haya
Nani alikwambia uwe na kadi ya chama ?Utumishi wa umma ni msala asee, usipochukuwa hatua za dharura unaweza kumdalalia mkeo ili tu kuendesha familia[emoji852]
Hivi Ikulu huwa haina syllabus wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Barikiwa sana mkuuHaya maisha acha kabisa...
Juzi kati usiku narudi zangu home, nakutana na mchizi mmoja yuko smart kimavazi na bahasha mkononi (sijui anafanya kazi gani)
Ila mchizi alinishika mkono akaniambia " Ebwana sina nauli nahapo nilipo sijala toka jana, unisaidie tu elfu mbili".
Aiseee sikutaka kujua kwanini hajala na kwann hana nauli. Nilimpa tano elfu.
Haya maisha haya
Umri wangu mdogo ndio ila maisha ndo tumetofautiana
Unafikir kila mtu wa lumumba...Au ndipo dadako alipokutanikia na mchepuko wakeBuku saba msimu huu zinawasaidia kwel
Pole sana kaka. Kama ni soccer basi tunakaribia kumaliza dakika 45 za mwanzo, tuna ngwe nyingine ya dk 45, gangamala.
Mwalimu Nyerere aliwahi sema ni bora kama njia mnayokwenda ina miba uwaambie kabisa wenzio ili kama kuna mwenye kiatu chake na akivae.
Acha kabisa Mkuu... maisha yetu yamejengwa ktk changamoto sana .Ubarikiwe mkuu, haya maisha acha kabisa.Likiisha hili linakuja jingne[emoji852]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu nilikutana Dar city center miaka kama mitatu nyuma. Aliniomba nauli tu na nikampa, alinishangaza kiasi flani ila nilikuja kumuelewa baada ya kuanza kutembeza bahasha piaHaya maisha acha kabisa...
Juzi kati usiku narudi zangu home, nakutana na mchizi mmoja yuko smart kimavazi na bahasha mkononi (sijui anafanya kazi gani)
Ila mchizi alinishika mkono akaniambia " Ebwana sina nauli nahapo nilipo sijala toka jana, unisaidie tu elfu mbili".
Aiseee sikutaka kujua kwanini hajala na kwann hana nauli. Nilimpa tano elfu.
Haya maisha haya
Labda nisbabu ya maisha na watu walivyo kiasi cha kuogofya, Ila ukweli nikwamba kuna watu huwa wa nahitaji msaada muda huohuo anapokuomba.Kuna mtu nilikutana Dar city center miaka kama mitatu nyuma. Aliniomba nauli tu na nikampa, alinishangaza kiasi flani ila nilikuja kumuelewa baada ya kuanza kutembeza bahasha pia