Naishi kama shetani!

Naishi kama shetani!

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,112
Reaction score
2,400
Utumishi wa umma ni msala asee, usipochukuwa hatua za dharura unaweza kumdalalia mkeo ili tu kuendesha familia[emoji852]

Hivi Ikulu huwa haina syllabus wakuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maisha acha kabisa...

Juzi kati usiku narudi zangu home, nakutana na mchizi mmoja yuko smart kimavazi na bahasha mkononi (sijui anafanya kazi gani)

Ila mchizi alinishika mkono akaniambia " Ebwana sina nauli nahapo nilipo sijala toka jana, unisaidie tu elfu mbili".

Aiseee sikutaka kujua kwanini hajala na kwann hana nauli. Nilimpa tano elfu.

Haya maisha haya
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Haya maisha acha kabisa...

Juzi kati usiku narudi zangu home, nakutana na mchizi mmoja yuko smart kimavazi na bahasha mkononi (sijui anafanya kazi gani)

Ila mchizi alinishika mkono akaniambia " Ebwana sina nauli nahapo nilipo sijala toka jana, unisaidie tu elfu mbili".

Aiseee sikutaka kujua kwanini hajala na kwann hana nauli. Nilimpa tano elfu.

Haya maisha haya
Barikiwa sana mkuu

Kuna mtu nilikutana Dar city center miaka kama mitatu nyuma. Aliniomba nauli tu na nikampa, alinishangaza kiasi flani ila nilikuja kumuelewa baada ya kuanza kutembeza bahasha pia
 
Kitu kimoja ambacho wengi Wetu huwa tunachukulia poa, ni kutokujali HITAJI langu kwa muda huohuo anaohitaji
Kuna mtu nilikutana Dar city center miaka kama mitatu nyuma. Aliniomba nauli tu na nikampa, alinishangaza kiasi flani ila nilikuja kumuelewa baada ya kuanza kutembeza bahasha pia
Labda nisbabu ya maisha na watu walivyo kiasi cha kuogofya, Ila ukweli nikwamba kuna watu huwa wa nahitaji msaada muda huohuo anapokuomba.
 
Back
Top Bottom