Naishi kwenye misingi ya vitabu vitakatifu - Koran na Biblia

Naishi kwenye misingi ya vitabu vitakatifu - Koran na Biblia

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,339
Eti haki sawa, haki sawa na nani? Mimi hata nikiitwa nina mfumo dume, nipo tayari. Wanaume wengi wamesahau na kupoteza nafasi zao na thamani zao na ndiyo maana wananyanyaswa mno.

Kwangu mimi ndiye kichwa cha nyumba, mke wangu hawezi kutoka kwenda matembezi au kwao bila ruhusa yangu, regardless ana kazi yake, kanizidi kipato au la!

Mke wangu hawezi kuleta ndugu bila kunitaarifu, na nitoe mimi ruhusa, ikiwa kuna ulazima au umuhimu.

Akikosea kupigwa ni kawaida ila si kumuumiza, ni kipigo cha kumnyoosha tu.

Mke wangu sitaki aongee na kuzoeana na wanaume hovyo hovyo, lazima kuwepo mipaka.

Kikubwa ni kuwa kwangu hakuna haki sawa, mimi ni kichwa, na mke wangj atabaki kama mshauri wangu. Pia natimiza majukumu yote kama baba na mume.

Nawaambia NGO's kama mnasikia, na mjue sasa. Hakuna kuvaa suruali ya kubana ndani ya nyumba yangu(watoto wangu wa kike na hata mke wangu).

Ni hivyo tu, mkiweza nikamateni kama nakosea, sihitaji ushauri wowote, hiyo ni taarifa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani tukisimama nagwajiboy haya yote yatakaa sawa tu. Au nasema uongo ndugu zangu
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.
 
Baba umetupia mvinyo wa FARU JOHN, imebaki tu useme katiba na sheria viko kisiginioni mwako
 
Back
Top Bottom