Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

Majori

Member
Joined
Aug 15, 2019
Posts
21
Reaction score
12
Ndugu zangu wana JF nmekua nikisumbuliwa na tatizo la tumbo tangu 2005, tumbo limekua likiniuma kwa maumivu makali sana kwa nyakati tofauti.

VIPIMO/ TIBA
Nmepima vipimo mbalimbali katika hospitali tofauti na kwa nyakati tofauti bila kuonesha tatizo lolote. Baadhi ya vipimo nlivopima ni pamoja na HP piloy kile cha Ulcers, Ultra Sound, Blood, ODG, CT SCAN, Chronophology na vipimo vidogo kama UTI, MINYOO, TYPHOID, na KICHOCHO Lakin vyote haivijawahi ku detect tatizo lolote mwilini

UGONJWA
Maumivu nnayoyapata hua yanabadilika siku hadi siku kwa maana kwamba tumbo linakua na maumivu ya aina tofauti, kuna siku linajaa gas, kuna siku linabana na kufanya nipumue kwa shida. Ila kwa kiasi kikubwa sipati choo kama inavyotakiwa na inapotokea nmepata choo vizuri hali yangu hua nzuri na maumivu hupotea kwa mda

MADHARA
1. kutokana na hali hiyo kuna wakati nashindwa kwenda kazini kati ya mda wa wiki 2 nikiwa ninaugulia ndani hivyo kuathiri uchumi wangu (Nimejiajiri).
2. Hali hii pia imenifanya niwe dhaifu pale nnapokutana na mchumba wangu kitandani
3.Hali hii imenifanya nishindwe kutumia baadhi ya vyakula na vinywaji ambavyo kabla nlikua navitumia.
4.Hali hii imenifanya kuwa mpweke kiasi cha kuhisi nmemkosea nn Muumba wangu
5.Hali hii imenifanya wakat mwingine kujitenga na marafiki zangu
6.Hali hii inanifanya kushindwa kufanya baadhi ya kazi ngumu ikiwa ni pamoja na mazoezi

LENGO LA KUJA JF
Lengo kubwa la kuja kuanika tatizo langu hapa JF, kwanza ni kuomba msaada wa hali kwa maana ya ushauri jinsi gani naweza kuondokana na hili tatizo hatimae na mm siku moja niwe kijana nnayefurahia maisha yangu nikiwa na afya imara lakini pia nipate elimu namna gani hili tatizo naweza kuliondoa

NB:Kama kuna sehemu nmekosea kuandika kwa usahihi nipo tayari kusahihishwa hasa kwa ule upande wa majina ya vipimo. Umri wangu ni miaka 29.

Ahsanteni sana [emoji1488]
 
Pole sana mkuu.
 
Badirisha utaratibu wa ulaji,pendelea kutumia sana maji Mara kwa Mara unapokuwa home kunywa maji mengi sana,alafu mboga za majani fatilia upikaji wake zisiwe ni zenye kupikwa mda mrefu.mboga za majani zipikwe na dakika chache au kama utaweza pendelea mboga za majani zilizochemshwa tena kidogo sana tumia hizo sana na kunywa hadi na mchuzi wake.matunda kila cku hata aina 4 au tatu hakikisha unatumia alafu jiwekee utaratibu wa kila cku kutafuna vitunguu swaumu hata vipunje kadhaa kila cku,na muhimu kwa ucku pendelea kutumia vitunguu swaumu kabla ya kulala.vitunguu swaumu dawa sana ya magonjwa mengi so hata ukikosa hayo yote lakin vitunguu swaumu usikose ndugu yangu.jaribu hivyo naamini Allah anaweza akakufanyia wepesi ukawa vizuri.jaribu kufanya hivyo
 
Nenda India huku ukimuomba Mungu chanzo cha tatizo kijulikane na kutatuliwa!
 
Tiba mbadala ulishajaribu? mitishamba huwa inasaidia sana hasa yale magonjwa ambayo vipimo vinasema havioni tatizo
 
Nmekunywa sana dawa za mitishamba. Wengine wanasema ukizinywa sana bila kujua tatizo unaweza kuharibu Figo
 
Badirisha utaratibu wa ulaji,pendelea kutumia sana maji Mara kwa Mara unapokuwa home kunywa maji mengi sana,alafu mboga za majani fatilia upikaji wake zisiwe ni zenye kupikwa mda mrefu.mboga za majani zipikwe na dakika chache au kama utaweza pendelea mboga za majani zilizochemshwa tena kidogo sana tumia hizo sana na kunywa hadi na mchuzi wake.matunda kila cku hata aina 4 au tatu hakikisha unatumia alafu jiwekee utaratibu wa kila cku kutafuna vitunguu swaumu hata vipunje kadhaa kila cku,na muhimu kwa ucku pendelea kutumia vitunguu swaumu kabla ya kulala.vitunguu swaumu dawa sana ya magonjwa mengi so hata ukikosa hayo yote lakin vitunguu swaumu usikose ndugu yangu.jaribu hivyo naamini Allah anaweza akakufanyia wepesi ukawa vizuri.jaribu kufanya hivyo

Nashukuru sana Ndugu yangu ...umeniongezea kitu ambacho sikuwa nacho kwenye fikira zangu...zoezi linaanza leo leo....Punje nitafune ngapi mkuu?
 
Itabidi nikapime tena[emoji1488]
Pole sana mkuu, kuna wadau wamekushauri vyema kama aina ya vyakula, matumizi ya maji, tiba mbadala (sio uchawi wala uganga) na vipimo zaidi naungana nao kwa msisitizo, ila usikate tamaa Mungu anazidi kukupambania nawe usichoke pambana. I feel what you feel. Pole sana in advance.
 
Nashukuru sn Ndugu[emoji1488]
 
Duuuh Pole sana jamani. Jaribu kufanya water therapy. Unakunywa maji ya uvuguvugu angalau Lita moja alfajiri. Usiyanywe kwa pamoja kunywa Kama chai halafu ukae masaa kadhaa ndio ule kitu chochote healthy. Hebu jaribu. Saratani ya ini umecheki na ya utumbo? Nenda ocean road uone Kama ni negative. Pole sana
 
Nashukuru sana Ndugu yangu ...umeniongezea kitu ambacho sikuwa nacho kwenye fikira zangu...zoezi linaanza leo leo....Punje nitafune ngapi mkuu?
Kwa asubuhi ukiamka tafuna punje mbili za vitunguu swaumu,baada ya hapo kaa hata kwa mda kidgo kunywa maji.mchana tenya Fanya hivyo tafuna punje mbili tulia mda flani ukipita kunywa maji na ucku sasa ongeza idadi ya punje hata mbili angalau ziwe punje nne tafuna vizuri tulia kidgo kunywa maji kidgo tu kwa kuwa ucku ukinywa maji mengi itakuwa usumbufu wa mkojo.ucku dawa ndo itafanya kazi vizuri kwa kuwa mwili unakuwa umetulia sana so unaipa dawa yako uwezo wa kufanya kazi vizuri. Naamini ndani ya wiki Mwenyezi Mungu atajalia na utaona mabadiriko makubwa sana tumbo litakuwa safi,bakteria wa mwilini wote watakuwa wamekwisha maana kitunguu swaumu ni sumu kwa bacteria wote watakufa and hope u will be okay my blood.hivyo ndgu Fanya yaweza ukawa vizuri kiasi kwamba hata hospitali usiende tena.kwa tatizo lolote likikupata jaribu kutumia kitunguu swaumu yani hiyo unaweza usiniamini ila jaribu kufanya ivo kiumakini.Allah akufanyie wepesi ndgu
 
Mpe tahadhari pia kama ana low blood pressure asitumie vitunguu swaumu.

Hiyo ni gesi tumboni na kukosa choo...

1. Tumia matunda kama mapapai, parachichi, tikiti maji.
2. Pendelea chai ya tangawizi kali, iliki na mdalasini ukiweza weka habat soda.
3. Fanya mazoezi kila mara.
4. Angalia style ya kulala.
5. Usile ukashiba sana.
6. Unakunywa pombe?
 
Back
Top Bottom