Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Itakua hivyo

Sababu hatukupeana space muda mrefu sana tumeishi wote muda wote huo

Ananiambia ndoa zipo tu na ndoa sio kila kitu
Miaka yote hiyo bado hamjapata mtoto? hujatuambia...labla anaangalia kama kiwanda kinazalisha ama ni hasara tu.

Wanaume siku hizi wanaangalia mbele zaidi ya uonavyo wewe.

Ila jichunguze alone, tafakari na uchukue hatua.
 
Nimesoma post hadi ya 108 zenye ushauri na majibu yako Pisi kali.

Nimegundua kuwa wewe Pisi kali umeonesha udhaifu kwa huyo jamaa, na jamaa kashaugundua udhaifu wako na ndio anautumia udhaifu huo kufanya maamuzi yake haya unayoyalalamikia.

Pisi kali kila la kheri, wanajukwaa wamekufanyia uungwana wa kukushauri, ni juu yako kufuata au kuacha
 
Sio kwamba hakupendi . Anakupenda ila ameshaju akifunga ndoa na wewe utakuja kumgeuka chapu so bora muishi hivyo .
 
Ndoa ikililiwa na Mwanamke please men be careful!
Kwani ndoa ni nini hadi uitake au kuna mabadiliko yatakuwepo tofauti na mnavyoishi kwa sasa?

Tuombe uzima mkifikisha miaka 50 ya kuishi pamoja bila kutengana ndipo mi taongea huyo jamaa mfunge ndoa, Sawa sawa shem!
 
Pole
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…