Si ndio maana ameleta tatizo hapa kadhaa viwanja na daktari kuwa Hana damu ndio anataka ushauriNenda kwa madaktari hongera maswala ya damu. Yawezekana kuna shida kwenye chembechembe zako za damu hasa nyekundu ambazo hawa zinahusika. Mimi siyo mtaalam ila narejea sayansi niliyosomeshwa.
Labda ni typing error,hata hivyo haihitaji degree kujua mtu huyu amekosea la msingi ungempa ushauri jinsi ya kufanya sio kukomaa na kosa dogo aliliolifanya,JF ni kwa great thinker tuu lakin nowdays duhUmezaliwa mwaka jana alafu shida imeanza mwaka huu?? Ma friend Growth Hormone yako itakuwa kabambe sana
Mkuu jifunze kusoma heading na contents....usiishie kusoma heading tuLabda ni typing error,hata hivyo haihitaji degree kujua mtu huyu amekosea la msingi ungempa ushauri jinsi ya kufanya sio kukomaa na kosa dogo aliliolifanya,JF ni kwa great thinker tuu lakin nowdays duh