Naishiwa damu kila mara, nifanyeje?!

Naishiwa damu kila mara, nifanyeje?!

Uliongezwa damu kwa sababu ulikuwa na upungufu mkubwa wa damu uliokua unahatarisha maisha yako, madaktari waliokutibu walipaswa kukueleza sababu ya upungufu wa damu uliokua nao, Nakushauri uende hospital iliyopo karibu na wewe ukafanyiwe Vipimo watakuambia chanzo cha tatizo ulilonalo, pole sana mkuu
mkuu mara tatu sasa naongezewa damu mpaka sasa nilipo naziona dalili ya kuishiwa kwasababu nachoka halaf mikono inakuwa mieupe hafu kama sipumui vzr
 
Nenda kwa madaktari hongera maswala ya damu. Yawezekana kuna shida kwenye chembechembe zako za damu hasa nyekundu ambazo hawa zinahusika. Mimi siyo mtaalam ila narejea sayansi niliyosomeshwa.
Nimeisha pimwa hicho mkuu lakn hakn tatzo inaonesha
 
Tafuta majani ya mparachichi,injika jikoni na maji halafu funika,chemsha sana yakipoa kunywa. Nakuambia damu itarudi mpaka daktari atakukataza kuhofia utapasuka mishipa ya damu.
mbona nimeisha jarb ndo ikapungua kwa kas
 
Habari wakuu,

Naombeni kufahamu huu ugonjwa nilionao ni ugonjwa wa namna gani?

Nikianzia hapa ni kwamba toka mwezi wa 6 mwaka jana nilikuwa najihisi kuchoka sana kwa shughuli ndogo ndogo kama kufagia mapigo ya moyo yanaenda mbio hata kufagia ndani tu nashindwa.

Nimeshaongezewa damu karibu mara tatu lakin naona hili tatzo linajirudia tena..

Nimeshapimwa sicklecell imeonekana sina na hili tatizo limeanza mwaka jana tu toka nizaliwe.

Naombeni msaada wakuu hili ni tatizo gani?
Pole Sana, kwa maelezo yako unahitaji kufanyiwa uchunguzi/vipimo kwa kina. Ila naamini madktari walipaswa kukuambia tatizo linalosababisha upungufu wa damu unaojirudia. Kitaalamu upungufu wa damu ni matokeo ya tatizo Fulani mwilini ambalo shurti lifahamike.
Ila kifupi inaweza ikawa shida ni kwenye uboho wa mifupa (bone marrow), spleen ( kongosho? sijui kiswahili chake) au mfumo wa kingamwili (immune system).

Naomba uende hospitali na omba kuonana na haematologist.
 
Mkuu halafu kwenye magoti kuna manundu je inaweza ikawa sababu inayopelekea hivo pia yaan viungo kwa mfano mikonon kwenye maungio panalia kama panasagana
 
Mkuu halafu kwenye magoti kuna manundu je inaweza ikawa sababu inayopelekea hivo pia yaan viungo kwa mfano mikonon kwenye maungio panalia kama panasagana
Siwezi kusema Kuna uhusiano wa moja kwa moja. Kuvimba hayo manundu ni sign mojawapo kuwa Kuna kitu hakipo sawa kwenye immune system. Nenda cpitali, Kama upo Dar nashauri uende muhimbili
 
Pole sana Mkuu rudi hospitali walikyokuongezea ummulize Dr chanzo hasa ila wakati unafanya michakato ya kwenda tafuta natural remedies kama walizotaja wadau humu kama juice ya matembele etc
 
Yesu anatosha, nenda kaombewe na tatizo lako litaishaa.
 
Chemsha majani ya mti wa parachichi. Kunywa ml 330 Mara Tatu kwa siku.

Kwa muda wa wiki moja, hilo tatizo utaliskia
 
Habari wakuu,

Naombeni kufahamu huu ugonjwa nilionao ni ugonjwa wa namna gani?

Nikianzia hapa ni kwamba toka mwezi wa 6 mwaka jana nilikuwa najihisi kuchoka sana kwa shughuli ndogo ndogo kama kufagia mapigo ya moyo yanaenda mbio hata kufagia ndani tu nashindwa.

Nimeshaongezewa damu karibu mara tatu lakin naona hili tatzo linajirudia tena..

Nimeshapimwa sicklecell imeonekana sina na hili tatizo limeanza mwaka jana tu toka nizaliwe.

Naombeni msaada wakuu hili ni tatizo gani?
Hili ni jambo linalohitaji specialist wa hematology cha kufanya nenda hospitali kubwa za rufaa hasa muhimbili fanya utaratibu uonane na hematologist atakufanyia uchunguzi wa bone marrow watafute chanzo cha tatizo kama ni iron watakwambia na utaanza matibabu kama ni leukemia pia itajulikana(blood cancer)
 
Back
Top Bottom