Naaanza kwa kutoa pongezi za dhati kwa Serikali hii iliyopo Madarakani kwa kurekebisha Matokeo ya kidato cha 4 nne,
kwa hili naomba niunge Mkono.
Sio kila jambo Serikali hii iliyofanya tubeze kwa hili Mimi nawaomba wadau wote waunge Mkono!
Asanteni sana
Nawakilisha.