Naishukuru sana JF wadau na CCBRT Dar es Salaam

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
Kesho Tarehe 23 September naaza safari ya kweda Dar. kwa ajili ya matibabu ya mtoto wangu aliyezaliwa na tatizo la mdomo sungura, nawashukuru sana wadau kunipa ushauri, maoni na kunipatia namba za mawasiliano ya moja kwa moja na CCBRT naaza safari kesho mimi na mke wangu bure kabsa kwa mama na mtoto na wanasema matibabu ni bure,

aiseee hapa ndipo siamini kabisa ila naomba kweli iwe hivyo
uliopitiliza.

Hivyo, ni vyema kuufuatiliaji wa karibu pia na watoa huduma ya afya kwa kadri ya makuzi yake
 
 
Vile vile Mshukuru naDr Slaa mwanzilishi wa Hospital ya CCBRT
 
Huyu mwamba hatakusamehe akija kuiona hii picha tena akiwa hana shati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…