Naisi kuna mwanamke Anaishi nae

unakuwaje 'mchumba' wa mtu miaka mi5 bila kufika kwao au kujua ndugu yake yoyote, huoni kuwa wewe ni booty call tu.
 
wewe bidada kasome hii book ,act like a lady n think like a man.mdada unakosaje macho?macho yako yanaangalia wapi?eti anakupenda sana waaatttt!!!!!!!!:A S-baby:
 
Duh!! anaitwa nani dada? nahisi kama nshawahi kukutana naye huyu. Ila mie nilistuka mapemaaaaaaaaaaaa, nkajagundua jamaa wala hajaachana na mke wake, alikuwa nadanganya ila nkimuuliza anakana kabisa na kuporomosha michozi kabisa eti linasema "Am maximum single beibe" nyooooooooo, nkaliamia kwenda huko huna chako hapa!!! stuka dada!!!!
 
Ujinga tu mtu kugawa K yake kabla ya ndoa hizo K mmepewa na mungu sio mziwache wazi kabla ya ndoa.

Eti tunakutana hotelini afu ananipenda na mimi nampenda ujinga mtupu, mwenye kukupenda anakuoa sio anakuchezea hotelini.

:biggrin1: mbona jazba...ulishawahi fanyiwa kitu mbaya nini
 

Umenichekesha hapo kwa red, yaani muachache kwavile hajakupeleka kwake au mi ndo sijaelewa?
 
ukisema muachane yeye analia, na wewe unafuta kauli. sasa nawewe akisema usije nyumbani kwakuwa kuna watoto, nawe anza kulia. asipokusikiliza tu, kesho yake sema tuachane, akilia wewe mpuuuze , sisitiza muachane, ukimwambia "wewe jana ulilia hakukusikiliza so leo zamu yako", na unamwambia" bye bye"!
 
Hivi ujinga ni tusi au hali ya uelewa????

Nachelea kusema ni tusi au la, lakini kulingana na tafsiri ya Kamusi ya Kiswahili Sanifu, mjinga '' Ni mtu asiyefahamu kitu au jambo fulani,****,jura,gulagula,bozi,mpumbavu au juha.''
 
Huu ni ushauri mzuri sana..... kama angekuwa anakupenda kweli angeshakuoa, je unahitaji mpaka ugongwe na nyundo kichwani ndo uelewe?????? Nahisi uelewa na uchambuzi wako wa mambo ni mdogo sana!!!!!

Ujinga tu mtu kugawa K yake kabla ya ndoa hizo K mmepewa na mungu sio mziwache wazi kabla ya ndoa.
Eti tunakutana hotelini afu ananipenda na mimi nampenda ujinga mtupu, mwenye kukupenda anakuoa sio anakuchezea hotelini.
 
Hisia zako ni za kweli 100%. Kwake utaishia kupasikia tu.
 
Huu ni ushauri mzuri sana..... kama angekuwa anakupenda kweli angeshakuoa, je unahitaji mpaka ugongwe na nyundo kichwani ndo uelewe?????? Nahisi uelewa na uchambuzi wako wa mambo ni mdogo sana!!!!!

kwani akikumuoa ndio guarantee ya upendo kwake? Kama ni hivyo ndoa nyingi zingekuwa imara.
Kama mimi una future na huyo mtu bora utafute ustaarabu mwingine. Kama ni mambo yetu yaleeee we endelea nae tu.
 
Last edited by a moderator:
he! pole inaelekea umejichimbia uko kijijini wanaume kupatikana adimu,lol alitokea huyo huyo mmoja akili yako ikawa stuck....jichanganye mwanawane umpate mwanaume mwingine,lol:redface::redface::redface:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…