Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga tu mtu kugawa K yake kabla ya ndoa hizo K mmepewa na mungu sio mziwache wazi kabla ya ndoa.
Eti tunakutana hotelini afu ananipenda na mimi nampenda ujinga mtupu, mwenye kukupenda anakuoa sio anakuchezea hotelini.
wapendwa!
Naitaji ushauli wenu boy friend wangu wa miaka mitano hajawahi kunipeleka kwake tangu tuanze uhusiano ni tumekua tukikutana hotelini tu
Yeye anaishi Dodoma mimi naishi Moshi kwa muda wote huo wa miaka mitano
Kinachonifanya niisi anaishi na mtu Nikimuomba twende kwake uwa naniambia kua hatuwezi kwenda kwa sababu ya watoto wanaishi pale mpaka tukishaoana ndio atanipeleka kwake,hao watoto wawili alizaa na mwanamke mwingine alimuacha kwa sababu alimfumania huyo mwanamke akifanya mapenzi na mwanume mwingine nyumbani kwake
Nikimuambia tuachane analia na hataki kabisa kusikia hilo swala
Nifanyaje ndugu zangu ili nijue ukweli?nampenda sna na yeye ananipenda pia haipiti week bila ya yeye kusafiri kunifata moshi kuja kuniona na amekua ni msaada mkubwa sana wa maisha ya yangu(ki ushauli and financially) though simtegemei sana kipesa maana mimi mwenyewe najiweza kipesa
ukisema muachane yeye analia, na wewe unafuta kauli. sasa nawewe akisema usije nyumbani kwakuwa kuna watoto, nawe anza kulia. asipokusikiliza tu, kesho yake sema tuachane, akilia wewe mpuuuze , sisitiza muachane, ukimwambia "wewe jana ulilia hakukusikiliza so leo zamu yako", na unamwambia" bye bye"!wapendwa!
Naitaji ushauli wenu boy friend wangu wa miaka mitano hajawahi kunipeleka kwake tangu tuanze uhusiano ni tumekua tukikutana hotelini tu
Yeye anaishi Dodoma mimi naishi Moshi kwa muda wote huo wa miaka mitano
Kinachonifanya niisi anaishi na mtu Nikimuomba twende kwake uwa naniambia kua hatuwezi kwenda kwa sababu ya watoto wanaishi pale mpaka tukishaoana ndio atanipeleka kwake,hao watoto wawili alizaa na mwanamke mwingine alimuacha kwa sababu alimfumania huyo mwanamke akifanya mapenzi na mwanume mwingine nyumbani kwake
Nikimuambia tuachane analia na hataki kabisa kusikia hilo swala
Nifanyaje ndugu zangu ili nijue ukweli?nampenda sna na yeye ananipenda pia haipiti week bila ya yeye kusafiri kunifata moshi kuja kuniona na amekua ni msaada mkubwa sana wa maisha ya yangu(ki ushauli and financially) though simtegemei sana kipesa maana mimi mwenyewe najiweza kipesa
Hivi ujinga ni tusi au hali ya uelewa????
Uliona wapi fazaa akawa faiza :bounce::biggrin1: mbona jazba...ulishawahi fanyiwa kitu mbaya nini
Ujinga tu mtu kugawa K yake kabla ya ndoa hizo K mmepewa na mungu sio mziwache wazi kabla ya ndoa.
Eti tunakutana hotelini afu ananipenda na mimi nampenda ujinga mtupu, mwenye kukupenda anakuoa sio anakuchezea hotelini.
Huu ni ushauri mzuri sana..... kama angekuwa anakupenda kweli angeshakuoa, je unahitaji mpaka ugongwe na nyundo kichwani ndo uelewe?????? Nahisi uelewa na uchambuzi wako wa mambo ni mdogo sana!!!!!