#Naisi matatizo yameongezeka,msaada jamani#

Kifude

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
31
Reaction score
5
Kuna kipind nilikua na tatzo la kuwai kumaliza,katika tendo la ndoa,lkn baadhi ya watu wakanishauri ni2mie njia ya kubana mkojo,eti itanifanya nichelewe kumaliza.., lakini,baada ya kufanya zoezi ilo kwa wiki 2 naona ndio tatzo limezid uume wangu umekosa nguvu kabisa, nafika mshndo lkn uume umeregea hauna misuli yani nakosa raha kabisa naomben msaada
 
haya ni matokeo ya punyeto.

ushauri wangu ni huu. kula vizuri, maji ya kutosha fanya mazoez hasa ya misuli.
usiogope unapokuwa kwenye tendo na wala usihamalike sana. hofu hukufanya kukosa ujasiri na hivyo kushindwa yenyewe.
 
Huna ttizo kaka wewe bonge ya rijali ila unajishtukia tu. Ondo mawazo kwingine weka akili yako kwenye game ugegede mzigo kisawasawa.
 
haya ni matokeo ya punyeto.

ushauri wangu ni huu. kula vizuri, maji ya kutosha fanya mazoez hasa ya misuli.
usiogope unapokuwa kwenye tendo na wala usihamalike sana. hofu hukufanya kukosa ujasiri na hivyo kushindwa yenyewe.

vp kuhusu kuregea kwa misuli ya uume? Na hayo mazoezi ya misuli ndo inakuaje?
 
TATIZO NI DOGO Hilo kula matikiti maji na tafuna megu zake.. usiteme.... kula robo tikiti mara 3 kwa siku .... baada ya siku kadhaa utapata majibu.... kula karoti kwa wingi na fanya mazzoezi kwa wingi...
 
vp kuhusu kuregea kwa misuli ya uume? Na hayo mazoezi ya misuli ndo inakuaje?

misuli ulegezwa kwa kukosa mazoezi ya kutosha, na ukitaka kujua zaid muulize daktari wako.
 
TATIZO NI DOGO Hilo kula matikiti maji na tafuna megu zake.. usiteme.... kula robo tikiti mara 3 kwa siku .... baada ya siku kadhaa utapata majibu.... kula karoti kwa wingi na fanya mazzoezi kwa wingi...

shukrani ndugu yngu
 
uliwahi kumuona MziziMkavu!!!sijui ni mganga, hata sijui lkn anaweza kukusaidia!!!
Mkuu Zamaulid Dawa za Kuongeza au Nguvu za kiume zipo niliwahi kuweka Thread yangu na kuna baadhi ya watu wamefaidika na hizo dawa zangu za kuongeza Nguvu ya kiume unaweza kunitembelea Bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html Au pia wawezakunitumia Barua ya Pepe kwa Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

MHH MziziMkavu na Riwa kwa sasa wapo kliniki ya gynaecology wanahudumia dada zako...
nadhani kliniki ya wanaume bado muda!!!!
Mkuu.@MziziMkavu nipoila huwa ninakuwa niko busy kikazi ninakuwa wakati mwengine ninawashughulikia watu wengine kuwaombea kwa Mwenyeezi mungu matatizo yao sasa huwa ninaingia usiku mwingi online ninachungulia Jamii forums kuoa ni nani anahitaji msaada na mimi kisha ninaendelea na shughuli zangu za kawaida asante kwa kuniita mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa matokeo ya Kegel exercise yanachukua muda mrefu zaidi ya wiki mbili. Labda unafanya visivyo. Lakini nenda hospitali ukawaone madakitari wakusaidie kwa uhakika zaidi.
 
Unaezini nae ni mkeo au gf?hili ni swali la msingi sana .una miaka mingapi?
 
Napenda kuwapa ufahamu wa namna ya kupambana na tatizo kama lilivyojieleza kwa huyu kaka. Watu wengi wana tatizo na wanakuwa hawapati njia sahihi ya kupambana na tatizo. Hii hapa ndiyo njia sahii. Fuatilia maelezo haya kwa umakini. Yote haya ni muhimu kuondoa kabisa tatizo.

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;


  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum

Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;


  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid

Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ****** na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.


  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).

Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM


  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo


WASIOPASWA KUTUMIA


  • Wajawazito
  • Wanaonyonyesha
  • Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
  • Watoto chini ya miaka 14




REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE


  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


CA + FE + ZI PLUS


  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA


  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA


  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI


  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


Yeyote mwenye swali/anayetaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za CA+FE+ZI Plus ni 51000/- Magilim ni 62500/- na REVIVE ni 60500/-
 
nahisi nivea anachojaribu kubaini ni je unakuwa huru unapokuwa tendoni!?kwa sababu kama una waza mambo mengi kichwani lazima 'perfomance' itapungua..
pia..je unavutiwa na huyowenza wako??hayo ni mambo yanayoweza kuchangia perfomance yako
 

nashukuru sana kwa ushauri mzuri ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…