- Thread starter
- #21
nahisi nivea anachojaribu kubaini ni je unakuwa huru unapokuwa tendoni!?kwa sababu kama una waza mambo mengi kichwani lazima 'perfomance' itapungua..
pia..je unavutiwa na huyowenza wako??hayo ni mambo yanayoweza kuchangia perfomance yako
vyote,hakuna mm nlyenae nampenda sana,pia siwaz lolote ni kiwa kwenye tendo