Lesa sidi kahamia clouds plusAiseee kipindi kitaboa sana maana Lesa Sidi ,Fredoo Munji na Dulla +DJ Summer TZ ilikuwa bonge la kombinenga ila kwasasa hata Lesa sidi hasikiki tangia wiki iliyopita labda na yeye anasepa...Yupo Fredoo peke yake.
Haaaaa Haaaaa π waiting.......=Si unajua tasnia ya bongo fleva/movie/habari wanaenda na trending kupata kiki? Walikuwa wana introduce kitu kipya Ea radio ,ili kupata mileage(coverage/trending) ndio wakaona wampe benz dullah.(Maigizo).
=Hahahahaa Range ipo kwenye Maji si unajua inatokea Japenga ,na meli za kutoka Japenga zinapitia vituo vingi ,itafika tu vuta subira.
Haaaaa Haaaaa π waiting.......
Mkuu ulituingiza chaka ,Dullah alikuwa likizo fupi ,kasharudi ndani ya nyumba namsikiliza hapa yupo na Fredoo Mbuji na DJ Dea.Leo nasikia Eti ndio anaondoka dah jamaa yupo talented sana sijui kipindi kitakuwaje bila ya jamaa.
huyuuu jamaa katuingiza chakaaa balaa leo mbona nimemsikiaMkuu ulituingiza chaka ,Dullah alikuwa likizo fupi ,kasharudi ndani ya nyumba namsikiliza hapa yupo na Fredoo Mbuji na DJ Dea.
huyuuu jamaa katuingiza chakaaa balaa leo mbona nimemsikia
Umeongea ukweli, David Rwenyagira alikuwa mchizi wangu kiaina, baada ya kwenda Wasafi hata simu hapokei, dah maidha haya. Ila angebaki tu kwa Drive ndinga mpya town....huko Wasafi kashapoteaChaka bovu sana,alitulisha tango pori,dulla aendelee kubaki tu EA radio kulinda heshima yake....Zembwela,David Rwenyagira,Charles William washapotea mazima.
Umeongea ukweli, David Rwenyagira alikuwa mchizi wangu kiaina, baada ya kwenda Wasafi hata simu hapokei, dah maidha haya. Ila angebaki tu kwa Drive ndinga mpya town....huko Wasafi kashapotea