Naisubiri hii siku kwa hamu!!

Nasubiri siku nitaiona tanzania mpya ninaoyoita ndoton kila siku.
 
Mumeo yupo humu?
Of course he is. Hujawahi soma poems namtumia kila siku kule jukwaa la lugha? sio siri mbona?

Kuolewa haimzuii yeye kukupenda
au wewe kupenda ina maana zaidi ya ninayoifahamu

Upendo wa kaka na dada πŸ™ πŸ™‚
Sidhani anamaanisha hiyo. Kasema he is in love.
Anyway, @ Otis, ujumbe umefika.
 
Najua unarushaga mistari kule ila sidhani kama umewahi kumtaja kwa jina.
Nimefurahi ulivyomjibu OTIS.
Sijawahi kumtaja kwa jina but ukienda profile yake utakuta mistari toka kwangu. As for Otis, nadhani alikua anatania, hawezi kunipenda kwa kunisoma tu humu JF. But utani huo sio mzuri pia πŸ™‚
 
Sijawahi kumtaja kwa jina but ukienda profile yake utakuta mistari toka kwangu. As for Otis, nadhani alikua anatania, hawezi kunipenda kwa kunisoma tu humu JF. But utani huo sio mzuri pia πŸ™‚

Now I'm curious to know who he is? Mind telling me via PM?
 
Najua unarushaga mistari kule ila sidhani kama umewahi kumtaja kwa jina.

Nimefurahi ulivyomjibu OTIS.



jjibu la 'nimeolewa'
lina maana tofauti
some women also mean 'keep it down low'
unajua hilo???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…