Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,686 Feb 27, 2012 #101 Smiling Saint said: heh! umeufungia wapi moyo wako? kuna ka mtu kalikuumiza ukaamua kutuchukia wote au? Click to expand... moyo wangu unaogopa.
Smiling Saint said: heh! umeufungia wapi moyo wako? kuna ka mtu kalikuumiza ukaamua kutuchukia wote au? Click to expand... moyo wangu unaogopa.
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Feb 27, 2012 Thread starter #102 Husninyo said: moyo wangu unaogopa. Click to expand... ni vigumu kuogopa kama hujatendwa!
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,686 Feb 27, 2012 #103 Smiling Saint said: ni vigumu kuogopa kama hujatendwa! Click to expand... huogopi simba hadi akung'ate?
Smiling Saint said: ni vigumu kuogopa kama hujatendwa! Click to expand... huogopi simba hadi akung'ate?
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Feb 27, 2012 Thread starter #104 simba anaweza kuwa tayari alisha kung'ata kwenye mind yako zamani imebaki tu kufanyika physically lakini kila unapomuona unakumbuka maumivu ya alivyokung'ata na ndio maana watu wanatofautiana hata katika namna ya kumuaproach!
simba anaweza kuwa tayari alisha kung'ata kwenye mind yako zamani imebaki tu kufanyika physically lakini kila unapomuona unakumbuka maumivu ya alivyokung'ata na ndio maana watu wanatofautiana hata katika namna ya kumuaproach!
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Apr 2, 2012 Thread starter #105 Kongosho said: SS, hata nikipost huko Nitawa-chit chat tu. Click to expand... hatimaye hii siku imefika!!
Kongosho said: SS, hata nikipost huko Nitawa-chit chat tu. Click to expand... hatimaye hii siku imefika!!
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,686 Apr 2, 2012 #106 Siku ambayo hamisi kishindindo ataacha kuchakachua threads za watu.
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Apr 2, 2012 Thread starter #107 Husninyo said: Siku ambayo hamisi kishindindo ataacha kuchakachua threads za watu. Click to expand... Ndio nani huyo??
Husninyo said: Siku ambayo hamisi kishindindo ataacha kuchakachua threads za watu. Click to expand... Ndio nani huyo??
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Oct 6, 2013 Thread starter #108 Naisubiri kwa hami siku jf itaipiku facebook