Mkuu weka akiba ya maneno.
Olympic Lyonais wameangusha miti mikubwa sana (Kibibi cha Turin[Juventus] na The Blue Moon[MCFC]).
Hawa wajumbe toka France wanajua kukaba na kufunga kwa counter attack huku wakiwa na hari ya juu.
RB Leipzig ni timu inayocheza mpira kama wa Liverpool FC hivyo PSG wanaweza kupata shida hasa kujilinda dhidi yao. PSG wanaweza kujikuta wanatumia muda mwingi kujilinda badala ya kushambulia.
Kwenye computer na kwenye makaratasi Bayern Munchen au PSG lazima watachukua ubingwa mapema tu.