Naitabiria Bayern Munich kuwa mabingwa UCL 2019/20

rarely statistic can lie, Bayern kachukua UCL na kwa kikosi chake next season pia atasumbua sana....
 
Bayern ni moto uunguzao kaa nao mbali, kwa mpira aliokutana nao ATM huku akichapwa 4-0 jambo ambalo ni adimu kwa vijana wa Diego Simeone kuchezea kichapo heavy, Bayern hii si ajabu msimu huu tena akifanya yake
 
Hv inakuaje endapo bayern atshinda goli 1 kwa 0 mechi dhidi ya Paris
 
Hv inakuaje endapo bayern atshinda goli 1 kwa 0 mechi dhidi ya Paris
Bayern anatupwa nje maana aggregate itasoma 3- 3 ila psg anafaida ya magoli mawili aliyomfunga bayern akiwa kwake na huku yeye kafungwa goli moja tu na bayern
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…