Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Hiyo nyimbo yuko temba na nani?Kuna nyimbo nimewahi kuwa nayo kwenye Kanda yangu iliyoimbwa na Mh Temba nachokumbuka jina ni kama kifo ila kila nikitafuta huko google sipati nyimbo hii.
Mfano wa mistari yake ni pale alipolalamika rafiki yake amechikuliwa na kifo na jana tu alikuwa ameongea nae.
Kifo ww ni nani mbona una.......
Temba yupo peke yakeHiyo nyimbo yuko temba na nani?
OkNyimbo[emoji777]
Wimbo[emoji106]
[ ingia hapaTemba yupo peke yake
Sijaupata huu wimbo kwa kutumia uzi huu au niulize huko?[ ingia hapa
Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.www.jamiiforums.com
Haya makosa kila siku yanajirudiaNyimbo[emoji777]
Wimbo[emoji106]
Sioni utofauti hapona yote yanatumika kadri upendavyo wwHaya makosa kila siku yanajirudia
Sio huo ipo siku hazungumzii kifoWimbo unaitwa Ipo siku
Sio huoIpo siku _temba