🤣Sasa kama anatunza elf 50 nimlipe milion tano?
Masaa ya kazi ni mengi sanaHahaha Noo Mama sometimes lazima tujifunze kuamini watu
🤣🤣Yaani mtu anakutunzia fedha unamlipa 100,000...!! Ndo maana mnaibiwa
Aisee...mchana na nusu..Masaa ya kazi ni mengi sana
Khaaa 🙌
Hata kama mitaa imejaa wahitaji
Ww ni muuwaji yni saa 1 asubuhi mpk saa 5 usiku huyu mtu yy atapumzika saa ngapi?Atafua saa ngapi? Yni hpa ndo ninapoona kua Elimu bado sana TzNaitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant
Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo
Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku
Chakula free
Akiwa anakaa kigamboni itakuwa safi zaidi
Salary LAKI MOJA
ALie tayari DM
Mtaongea kitu gani?Haha sasa hapo akija ndio tunaongea fresh
Ongeza kidogo nije..Sasa boss mfanyakazi akija tunajadili vizuri
Wewe Mchina au Muhindi? Maana hata mchina na muhindi hawafanyi hivyo, hio ni kufuru masaa 17 kwa laki 1 are you serious?Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku
Nauli kwa kweli..saa moja mpaka saa tano usiku, halafu elf 3 mia 3 kwa siku????? sasa hiyo si nauli tu?
Wewe Mchina au Muhindi? Maana hata mchina na muhindi hawafanyi hivyo, hio ni kufuru masaa 17 kwa laki 1 are you serious?
12hrs + 5hrs = 17hrs
100,000 ÷ 30 = 3,333/=
Yaan anafanya kazi unamlipa 3,333 per day within 17hrs seriously?
kwani akikaa kigamboni ndio atakuwa anatembea kwa miguu saa tano hiyo?Ndio maana nimesema akae kigamboni