Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina cha kukujibu ndio maana sijakujibu hayo maswali, maana kimya pia ni jibu au wewe unataka jibu lipi mkuu?Jibu swali
Kama ni chini ya elfu 70 anza kufanya mwenyewe.Sasa kama kazi anayokuja kufanya Mapato yake ni elf 70 so nimlipe yy laki mbili for what?
🤣🤣Unaonaje ukamuweka mkeo akufanyie kazi hayo masaa 17 ili uweze kusave hiyo laki 1 mmalizie kibanda chenu?
Mpunguzie muda wa kazi at least masaa 8Nataka mtu afanye na yy apate
Nipo jf tangu 2009.Ulisema umri wa kujiunga jf
Mkuu pitia sheria za kazi kidogo ujue mfanyakazi anastahili kufanya kazi masaa mangapi kwa siku. La sivyo utakuja kufungwa kwa utumwa.Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant
Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo
Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku
Chakula free
Akiwa anakaa Kigamboni itakuwa safi zaidi
Salary LAKI MOJA
ALie tayari DM
Emu nikuulize mkuu hio kazi chakula unampa free na malazi unampa free, yaan unamlisha na unamhudumia sehemu pa kulala, mavazi ya ofisini unampa, nk au ndio kwenda na kurudi na nauli na chakula ni juu yake?Nataka mtu afanye na yy apate
Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant
Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo
Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku
Chakula free
Akiwa anakaa Kigamboni itakuwa safi zaidi
Salary LAKI MOJA
ALie tayari DM
Mazingira ya kazi yako na mazingira ya kazi ya dada wa kazi ni tofauti. Unampa dada 50k, anakula kwako, analala kwako, akiumwa unamtibia na bado vichenchi vikibaki vyake na ana muda mwingi wa kupumzika ukilinganisha na hiyo kazi yako.Kijana wa kazi wa nyumbani kwako unamlipa sh ngapi? Analala saa ngapi? Anaamka saa ngapi? Anafanya kazi ngapi? Masaa mangapi?
Hata hii kazi anapata muda mwingi wa kupumzika because sio muda wote kuna wateja na yy kazi yake ni kurecord tu amekaaa kwenye kiti na mezaMazingira ya kazi yako na mazingira ya kazi ya dada wa kazi ni tofauti. Unampa dada 50k, anakula kwako, analala kwako, akiumwa unamtibia na bado vichenchi vikibaki vyake na ana muda mwingi wa kupumzika ukilinganisha na hiyo kazi yako.
Kweli kazi hamna ila tuhurumie wanaotusaidia kazi aiseee. Laki 1 kwa masaa 17 kwa siku ni uonyonyaji
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Emu nikuulize mkuu hio kazi chakula unampa free na malazi unampa free, yaan unamlisha na unamhudumia sehemu pa kulala, mavazi ya ofisini unampa, nk au ndio kwenda na kurudi na nauli na chakula ni juu yake?
Bado haujamaliza kuyajibu maswali yote niliyoyaulizaAnakula bure asubuhi mchana na usiku tena msosi anachagua mwenyewe hakuna mambo ya chakula cha wafanyakazi