Naitaji Cashier wa Min Restaurant ( Kigamboni)

Naitaji Cashier wa Min Restaurant ( Kigamboni)

Mbona kubwa sana. House girl anakaa na watoto tena anampikia mpaka chakula baba mwenye nyumba analipwa 30k sembuse huyu cashie
Housegirl gani analipwa elfu 30? Huo ni uonevu. Kuna mishahara Yao hasta kama wanakaa nyumbani
 
Mbona kubwa sana. House girl anakaa na watoto tena anampikia mpaka chakula baba mwenye nyumba analipwa 30k sembuse huyu cashie
House girl anakula na watoto...anapata muda wa kupumzika. Halipi nauli kila siku, haendi kupika kwake...
 
Sasa kwangu ndio naanza boss but Kwa vile ww ni mtaalam, nitakudm unaweza kunishauri mambo mengi mazuri ya biashara
Karibu sana mkuu, tena biashara kama hii huwa wanalipa kwa siku, hii inakusaidia pia unavyofunga mahesabu unajua umemalizana na kila kitu.

Faida ya kumlipa kwa siku hupati gharama ya kumlipia usafiri zaidi ya chakula cha siku nzima sababu anakuwa na hela yake. Kumlipa mwisho wa mwezi kuna gharama nyingi zitakuhusu.
Ingawa hasara ya kumlipa kwa siku ni kwamba anavyoondoka mnakuwa mmemalizana kiasi hata kesho anaweza asije bila hata taarifa na huna la kumfanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Housegirl gani analipwa elfu 30? Huo ni uonevu. Kuna mishahara Yao hasta kama wanakaa nyumbani

Bosi kama ujui mambo tulia Tu, kuna madogo pale sinza wanamenya viazi usiku mzima wanalipwa elf 2
Form 4 unamchukuliaje wewe mbwiga.......hivi hata kama ungekuwa wewe form 4 ungekubali laki ..........??.......tumia akili yako Kwa ujumla ..........

Amekuja mtu amemaliza IFM bank and finance kuomba hii kazi so kaa kimya ujui vitu
 
Unafikiri nakusIkiliza ...........😂😂😂😂😂
Bosi kama ujui mambo tulia Tu, kuna madogo pale sinza wanamenya viazi usiku mzima wanalipwa elf 2

Amekuja mtu amemaliza IFM bank and finance kuomba hii kazi so kaa kimya ujui vitu
 
Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant

Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo

Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku

Chakula free

Akiwa anakaa Kigamboni itakuwa safi zaidi

Salary LAKI MOJA

ALie tayari DM
Saa moja asbuh mpaka saa tano usiku lakimoja du??? We jamaa hatari...unaanza vipi kumfiklia mwezako hivo??? Euros kama 35,mshahara wa masaa wawili wa kiwango cha chini Western Europe...muweke nduguyako na umwambie mshahara kura na kulala hiyo laki mpe atumie siku za mapumziko kama zipo.
 
Acha dharau ww
 
humu kuna watu ni wanafiq kiwango cha kigwangala
 
Saa 5 usiku? au hiyo tano unamaanisha saa 11 .Bora utafute ndugu yako akusaidie bure. 100k akitoa usafiri na vocha kwa mwezi anabaki na 30k bora kutembeza karanga kuliko kupoteza muda bure.

Kama huo ndio uwezo wako bora uamishie hiyo shughuli mkoani hiyo laki moja unaweza ukaeleweka kidogo
 
Acha dharau ww
Kusema ukweli ndio dharau??? Fanya wewe hiyo kazi ya masaa kumi na saba kwa 3300...Huna huruma na binadamu wenzio?? Vitu kama hivi vikomeshwe wala sio vya kuviacha..
 
Kama mgahawa wako unafika hadi saa tano usiku hapo ni lazima uweke shift mbili maana hata wahudumu hawawezi kuvumilia kufanya kazi kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tano usiku,

Kama upo serious kweli na biashara yako basi tengeneza mazingira rafiki kwa wahudumu ili wateja wapate huduma nzuri na bora.
 
Kama mgahawa wako unafika hadi saa tano usiku hapo ni lazima uweke shift mbili maana hata wahudumu hawawezi kuvumilia kufanya kazi kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tano usiku,

Hautafika mbali na biashara yako kama upo serious kweli basi tengeneza mazingira rafiki kwa wahudumu ili wateja wapate huduma nzuri na bora.
Nilita kusema hivi aisee...
Kila mtu afanye kazi part time hata kama huo mshahara akiugawa..
Mtu anaingia saa1 mpaka saa8 anasepa zake anaendelea na michongo mingine
 
Mbona kubwa sana. House girl anakaa na watoto tena anampikia mpaka chakula baba mwenye nyumba analipwa 30k sembuse huyu cashie
House girl hafanyi kazi masaa 17, anapangilia kazi zake anapata muda mzuri wa kupumzika,
Lakini pia hana nauli, hanunui chakula, hatoi pesa za matibabu, mafuta, pedi,

Siku hizi kiwango cha chini wanalipwa elfu 50.
 
Nilita kusema hivi aisee...
Kila mtu afanye kazi part time hata kama huo mshahara akiugawa..
Mtu anaingia saa1 mpaka saa8 anasepa zake anaendelea na michongo mingine
Na ndio migahawa yote inayofanya kazi hadi usiku wanafanya hivyo, kinachoangaliwa ni huduma itoke vizuri kila mtu aridhike (mmiliki, muhudumu na muhudumiwa)
 
Kwanza nikupe honger kwa kutoa ajira kwa vijana au kijana.!

Wengi wanaropoka tu lkn wao hawana hata mradi wa kuajir wakaweza kulipa hata elfu 2 kwa siku na isitoshe hatujui status ya biashara yako.

Ushauri wangu, ajira kwa hiyo pesa na kadri biashara inakua unaongeza posho na mshahara kama motisha ya mfanyakazi.

Nchi inataka watu kama wewe sio mbweha wa maneno neno.!
 
Huyo wa bank aliyesoma IFM anadhalilisha chuo aisee watu wanatakiwa wajue thamani yao.
 
Back
Top Bottom