hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Sep 19, 2024 #1 Naitaji dish la Azam na King'amuzi chake Nataka used kutoka kwa mtu ambae anauza Nataka Kwa ajili ya sehemu ya biashara Niko Dar es salaam Mtu yoyote ambae anauza then nipm Ukiwa na risit ya manunuzi itakuwa Bora zaidi Au uwe na udhibitisho wa kuonesha hivyo vifaa ni vyako
Naitaji dish la Azam na King'amuzi chake Nataka used kutoka kwa mtu ambae anauza Nataka Kwa ajili ya sehemu ya biashara Niko Dar es salaam Mtu yoyote ambae anauza then nipm Ukiwa na risit ya manunuzi itakuwa Bora zaidi Au uwe na udhibitisho wa kuonesha hivyo vifaa ni vyako
Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,348 Reaction score 5,841 Sep 20, 2024 #2 Njoo nikuuzie mkuu niko Banana
D DIRIMULAINA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 921 Reaction score 1,720 Sep 20, 2024 #3 Njoo nikuuzie, limejaa ma chanel ya mipira na matamthilia ya kihindi, sitaki hata kuliona.