Naitaji King'amuzi cha Azam na Dish lake

Naitaji King'amuzi cha Azam na Dish lake

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Naitaji dish la Azam na King'amuzi chake

Nataka used kutoka kwa mtu ambae anauza

Nataka Kwa ajili ya sehemu ya biashara

Niko Dar es salaam

Mtu yoyote ambae anauza then nipm

Ukiwa na risit ya manunuzi itakuwa Bora zaidi

Au uwe na udhibitisho wa kuonesha hivyo vifaa ni vyako
 
Njoo nikuuzie, limejaa ma chanel ya mipira na matamthilia ya kihindi, sitaki hata kuliona.
 
Back
Top Bottom