Naitaji Kiwanja cha makazi na biashara Dodoma

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Salaam.

Jaman naitaji Kiwanja kwa matumizi ya makazi na biashara Mjini dodoma

Ningependa Sana ukubwa wa kiwanja uwe Sq m 1500 to 2000.

Na maeneo ambayo naitaji ni ilazo, Nkuhungu, au nje ya mji kidogo njia ya kwenda Dar au Iringa.

Kwa yeyote ambae anauza au anamjua anaeuza basi anijulishe kwa dm yangu.

Thank you
 
Ninacho Kiwanja Veyula(hatua 20*30),karibu tufanye biashara,Bei ni 2,500,000,napatikana kwa Namba 0620-333409

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…