B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
habari za huku wakubwa....kuna kitu ningependa kujua maana nimekuwa nikisikia lakini sijui sheria zake zikoje...KWENYE CASE KAMA HII.ENDAPO bwana x kaukumiwa kwa kesi ya kumuuwa bwana y aka tumikia kifungo chake NOTE KUUWA PASIPO KUKUSUDIA,baada ya kutoka anamkuta bwana y alie ambiwa amemuuwa yu hai,je ENDAPO AKIMUUWA KIKWELI BWANA Y BWANA X ANAWEZA KUSTAKIWA KWA KOSA LILE LILE?