Naitaji mke

Naitaji mke

luginyo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
1,385
Reaction score
637
Mimi ni kijana wa miaka 27 ni Dr
Nimeajiriwa, mweupe ,sio mnene
Mrefu, mkristo

Naitaji mke asiwe awe angalau amefika form six asiwe mwembamba Sana mkristo, mwaminifuu unaweza uka ni DM au my no 0757694702

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Embu twende kwanza kanisani tukaombe tulikabidhi ombilako mbele za Mungu.
 
Mimi ni kijana wa miaka 27 ni Dr
Nimeajiriwa, mweupe ,sio mnene
Mrefu, mkristo

Naitaji mke asiwe awe angalau amefika form six asiwe mwembamba Sana mkristo, mwaminifuu unaweza uka ni DM au my no 0757694702

Sent using Jamii Forums mobile app
Three degrees without education, Kweli na elimu yoote hiyo, tena employed Dr. Unakuja kutafuta mwanamke humu? Huu ni uzuzu, nahisi
ni Dr wa mabox wewe.
 
Wewe ni Daktari wa nini? Binadamu, Mifugo au Doctor mwenye PhD
 
Three degrees without education, Kweli na elimu yoote hiyo, tena employed Dr. Unakuja kutafuta mwanamke humu? Huu ni uzuzu, nahisi
ni Dr wa mabox wewe.
. Mke anapatikana /anatafutwa wapi mkuu
 
Three degrees without education, Kweli na elimu yoote hiyo, tena employed Dr. Unakuja kutafuta mwanamke humu? Huu ni uzuzu, nahisi
ni Dr wa mabox wewe.
Usiseme hivo unakosea.......uliza kwanza kwanini ameamua kutafuta mtu huku and not huko mtaani
 
We jamaa vipi nao wanawake wa mtaani kanisani misikitini clubs si ndo hawahawa wa jf?acha uzuzu pambana na hali yako
Three degrees without education, Kweli na elimu yoote hiyo, tena employed Dr. Unakuja kutafuta mwanamke humu? Huu ni uzuzu, nahisi
ni Dr wa mabox wewe.
 
Three degrees without education, Kweli na elimu yoote hiyo, tena employed Dr. Unakuja kutafuta mwanamke humu? Huu ni uzuzu, nahisi
ni Dr wa mabox wewe.
Ujue nimeshangaa, nimeduwaa nimebaki na maswali mengi. Ukianzia hapo kazini kwake tu anakutana na watu wengi au anakasoro huyo Dr siyo bure tena kwa wajihi aliotaja mwanamke gani asivutiwe nae jamani. Pole zake basi.
 
Mimi ni kijana wa miaka 27 ni Dr
Nimeajiriwa, mweupe ,sio mnene
Mrefu, mkristo

Naitaji mke asiwe awe angalau amefika form six asiwe mwembamba Sana mkristo, mwaminifuu unaweza uka ni DM au my no 0757694702

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr? naitaji?=nahitaji
Mwaminifuu?=mwaminifu
DM kirefu chake ni nini
 
Dr? naitaji?=nahitaji
Mwaminifuu?=mwaminifu
DM kirefu chake ni nini
Aiseee nilivomwelewa huyu mkuu ni Medicine Doctor .kwaiyo wamama changamkieni fursa ,Mshahara wake ni 1.5 M ,ongeza marupu rupu ...Mwisho Kwa mwwzi ana 2 M . Kwa iyo profession ,hawezi kufanya kazi viospital vya ndan yeye ni hospital za mkoa au wilaya au ya private lkn yenye hadhi .

Changamken wadada.
 
Watu wamekuwa wakikebehi sana watu wanaotafuta wapenzi humu, sijui akili ya wapi hii! Kama unaona issue haikuhusu si utulie tu, mnafikiri walioweka love connect humu ni wajinga!
Alafu mtu anakomaa eti mtaani umeshindwa kupata, kwani humu jf ni mbinguni? Mbona watu wa humu ndo hawa hawa wa mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa vipi nao wanawake wa mtaani kanisani misikitini clubs si ndo hawahawa wa jf?acha uzuzu pambana na hali yako
Zuzu ni wewe, Mimi sijawaponda wanawake wa hapa jf, ninachomdiss ni elimu yake na techniques anayotumia kutamke mtu. Kuwa mwelewa
 
Ulitaka
Zuzu ni wewe, Mimi sijawaponda wanawake wa hapa jf, ninachomdiss ni elimu yake na techniques anayotumia kutamke mtu. Kuwa mwelewa
atumie tekniki gani labda zaidi ya hiyo?kwani kutafuta mke kunaformula?bumbuwazi wewe pambana na hali zako baba na mshahara haupandi ng'oo
 
Back
Top Bottom