J627204 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 268 Reaction score 99 Sep 7, 2018 #1 Habari marafiki naitaji mpenzi atakayekuja kuwa mama Watoto Wangu miaka siyo kigezo heshima Na ukweli ndicho cha muhimu mm nafanya kazi nimejiajiri naomba nayy awe amejiajiri au kaajiriwa asante karibu pm Kwa maeleweshano binafsi
Habari marafiki naitaji mpenzi atakayekuja kuwa mama Watoto Wangu miaka siyo kigezo heshima Na ukweli ndicho cha muhimu mm nafanya kazi nimejiajiri naomba nayy awe amejiajiri au kaajiriwa asante karibu pm Kwa maeleweshano binafsi
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Sep 8, 2018 #2 Hujawahi hata kupata mke mtarajiwa huko kazini?
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Sep 8, 2018 #3 Naimani mtaa una wake wengi, ni wewe kutulia na kulokota mama moja inayofaa!
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Sep 8, 2018 #4 Uwe unatembea tembea kwenye maeneo ambayo utawapata